hahahaha sawa mkuu.kama mtoto ni gifted angalia uwezekano wa kumrushaHahaha bro hizo ni typing error tu mkuu. I meant to say English Medium
Kwani la saba lina umuhimu gani? Mi naonaga ni marudio tu! Kuna msichana tulikua nae form one, aliishia la sita na alituburuza vizuri tu na kutoka na division one.hakikisha anasoma la Saba ....mrushe la nne had la sita
Watu mna vichwa!mimi sikusoma darasa la saba tu lakini form four nilisoma, na nilikuwa na uwezo wa kufanya mtihani wa darasa la saba hasa hesabu nikiwa darasa la nne
Kumbe kuna vyeti vya lasaba? Mi sikupataga.Kama unaangalia hapo hapo ulipo, maana yake umeona CHETI CHA DALASA LA SABA si muhimu! Hapo unajidanganya, Cheti cha darasa la 7 ni muhimu sana kuliko hata cha form 4 hata kwenye majeshi wanaaulizia sana cheti cha darasa la 7 hii inamaanisha inaondoa utata kwenye masuala ya Uraia.
Acha kumuwekea misingi.mibovu mwanao na baadaye aje akulaani. Mwache amalize shule ya msingi.
Nilikuwa naishi nje ya nchi kwa kazi ya Serikali hii hii lakini kwa hivi sasa nipo hapa hapa Bongo najenga nchi yanguSa hiz uko wap
Aiseee ww jamaa ni kichwa sanaMimi ni tofauti kidogo na mwanao ,mimi nilipofika la Sita shule iliniombea kibali cha kufanya mtihani wa la Saba maana nilikuwa nipo vizuri sana kwenye masomo na nilikuwa shule ya msingi za kayumba sio kama ya mwanao,lakini nilifanya mtihani wa la Saba nikafaulu nikaenda form one nikakaza msuri tena nilipofika form three nikaomba mtihani wa form four pia nao nikafaulu baada ya hapo nikaendelea kama kawaida mpaka chuo lakini dalasa la saba na form four sijasoma, ili mambo haya yote yanawezekana ikiwa ataombewa kibali kutokana na uwezo wake.