Unaweza kumrusha... Isitoshe yanayosomwa la 5-7 ni hayohayo ataenda kuyasoma form one.
Nimeshuhudia watoto wengi tu wamerushwa madarasa.
Ila tatizo naloliona ni wanakua 'wanakua (growth)' wadogo kiakili za maisha wakati wamemaliza madarasa mengi. It's like you robe their childhood life
Mtazamo wangu tu kwa navyoona..... Kuna mtoto hapa alirushwa kutoka lanne hadi form one. Now ana miaka tisa yupo form two. Yaani ukimtoa darasani ni mtoto mdogo kabisa kiakili, anacheza na watoto wenzake wa 5/6 years. Anaendesha magari, katuni anazoangalia anazi apply hata nje (ufahamu wa kikubwa hana). Unaweza kumkuta anajenga nyumba ya matope anakwambia "The Pirates are coming[emoji23][emoji23][emoji23]".
Kama ni madarasa tu inawezekana, mrushe. Ila angalia na akili yake pia.... Kusoma darasa moja baada ya lingine kunaenda sambamba na ukuaji wa mtoto, kumjenga ufahamu wake nje ya masomo n.k
Shuleni waalimu wake wanashauri vipi? Nafikiri wao wana mchango mkubwa hasa katika kutaarisha maombi maalum ya matakwa yako kama kweli mtoto ana uwezo au la. Na pia kama itawezekana kifanya hivyo, basi mtoto apatiwe mtaala maalum kwa ajili yake ambao utamwezesha kufundishwa masomo ya darasa la 5, 6 na 7 katika kipindi cha mwaka mmoja, halafu afanye mtihani wa mwisho.
english media??????
kwa jinsi ulivoandika inajulikana kabisa wala mtoto wako sio kichwa kiasi cha kurushwa madarasa.
kama ni kichwa basi sijui amerithi akili za nani?
unafanya vizuri darasani wewe halafu arushwe mtoto? kivipi?
mtoto anarushwaje toka darasa la nne hadi form 1? are you siriaz meen?
au mtoto si wako manake kwa hija unazojenga sidhani kama mtoto ana akili kiasi hicho
Mambo ya msigi yapo class six, lazima asome hilo darasa then amalizie la saba.At least hyo anaweza akasom la tano kidogo aalf ukamrusha la sits mwaak huo huo, hapo afadhal maanakwa ufahamu wangu mimi ni kwamba la saba ndio hujenga msingi wa form 1, nakushaur lazima asome la 7
Tutaibishana hadi lini wakuu?english media??????
kwa jinsi ulivoandika inajulikana kabisa wala mtoto wako sio kichwa kiasi cha kurushwa madarasa.
kama ni kichwa basi sijui amerithi akili za nani?
unafanya vizuri darasani wewe halafu arushwe mtoto? kivipi?
mtoto anarushwaje toka darasa la nne hadi form 1? are you siriaz meen?
au mtoto si wako manake kwa hija unazojenga sidhani kama mtoto ana akili kiasi hicho
Watu kujifanya wanazo akili hadi wanaudhi,,, kukosea media ndio kukosa akili?Hahaha bro hizo ni typing error tu mkuu. I meant to say English Medium
Lipi mojawapo?Hilo linawezekana kaka?
Ooh kama shida ni cheti haina shida kabisa. Kwanza ili kumrusha inakupasa kuongea na walimu wake shule. Shule watakupa tu cheti haina noma kabisa....Asante sana kwa ushauri. Kuhusu akili nje ya darasa, siwezi kulizungumzia sana hilo lakini ninavyo muona, anajitambua.. Hofu yangu ipo kwenye ishu ya cheti cha darasa la saba. Kwamba, anaweza kusumbuliwa huko mbeleni. Inaweza kufika mahali, kikahitajika cheti chake cha darasa la saba. Hilo unalizungumziaje mkuu?
Ooh kama shida ni cheti haina shida kabisa. Kwanza ili kumrusha inakupasa kuongea na walimu wake shule. Shule watakupa tu cheti haina noma kabisa....
Kumbuka vyeti vinatolewaga na shule tu palepale
Katika mlolongo wangu wa maisha sijawahi kuulizwa cheti cha darasa la saba ila unachoweza kufanya ni kuchukua barua kutoka shule aliyosoma ikianisha kwamba alisoma hapo na namba yake ya usajili.NGOGO CHINAVACH : Nashukuru sana kwa maoni yako kiongozi. Vipi kuhusu ishu ya cheti cha darasa la saba? Maana ake kuna mdau ame raise issue ya darasa la saba hapo, anasema inaweza kuja kumsumbua hapo badae. Vipi kwa upande wako ilikuwaje?