Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Darasa lenye mambo mengi na mapya ni darasa la tano na sita, sioni kama ni afyye kumrusha haya madarasa mawili, maybe asisome drs la saba aende form oneUmrushee? Akiumia? [emoji23][emoji23]
Jus kiddin,
Hiyo inategemea na kichwa cha mtoto,
Unaweza kumrusha mtoti kutola la 4 labda mpaka la 6,au asimalize la 4 ukampeleka la 5 , ila hyo ya la 4 kwenda form 1, utampoteza kijana, kuna vitu ving muhimu vipo la 7 hatavijua, sikushaur kufanya ivo
I do not advise. Mfumo wa elimu umetengenezwa such that katika kila stage mtoto anajifunza kitu fulani. Kumrusha darasa hata kama yuko bright kivipi kutamwadhiri mtoto maishani mwake. Read about skipping grades and their effects.Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Unatania au?Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Watu mna fujoo.... Nimecheka sana..Nimependa hiyo shule yake ya English media!!
Mkuu unaposema anafanya vizuri darasani je ni kwa kiwango gani? Usikute anafanya vizuri mbele ya watoto wenye uwezo wa kawaida..Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Subiri afikie sdt 4, pia uanze kumwandaa kisaikolojia, std 5 atakuwa bado mdogo kumududu form one, wengi nimeona wanarusha std 6 kwenda form one na wanamudu...tahadhari anaweza kufanya vizuri au akafanya vibaya hasa kwa mara ya kwanza akishika namba ya mbali tofauti na livyokuwa shule ya msingi na hili linaweza kumwathiri kisaikolojia akajiona hata mudu tena...ndio maana nimetangulia kukueleza umwandae kisaikolojiaHabari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Kama uliruka darasa la Saba na Form Four kwa kibali kinachotolewa na Jamhuri hii ya Muungano nae ambaye atakuomba hicho cheti,labda kama anatokea Jamhuri nyingine lakini sio hapa Bongo.Kama unaangalia hapo hapo ulipo, maana yake umeona CHETI CHA DALASA LA SABA si muhimu! Hapo unajidanganya, Cheti cha darasa la 7 ni muhimu sana kuliko hata cha form 4 hata kwenye majeshi wanaaulizia sana cheti cha darasa la 7 hii inamaanisha inaondoa utata kwenye masuala ya Uraia.
Acha kumuwekea misingi.mibovu mwanao na baadaye aje akulaani. Mwache amalize shule ya msingi.