Tafuta tofal kama 30 mchanga na cment tafuta na fund ajenge stail kama ya kabur ela ya ufund haizid 50 malzia na chuma kilchokaa kama msalaba mwagilizia cku 5 kisha nenda katafute maisha upate hela ya kujenga sasa, apo utakua umetumia laki kulinda shamba lako kwa miaka 10 ya kujitafuta