Mapenzi ndivyo yalivyo mdogo wangu, hivyo ni wakati wa kumshirikisha Mungu katika mambo yako naamini Mungu ni uwezo wa kulitatua sokomoko linalokusibu.
Pia nakushauri kaa na mwenzako na myazungumze taratibu, ila ukiona bado hamuelewani haina budi kuwashirikisha watu wazima wenye hekima zao ili waweze kuzungumza nanyi.
Be blessed mkaka.