Uzi wa kuelimishana: Tuepuke matumizi mabaya ya mtandao

May 8, 2018
6
1
Kutoa habari zisizo za ukweli na uhakika, Watumiaji mbalimbali huposti taarifa zisizo za ukweli na nyingine zakichonganishi kutokana na kutokujali matokeo ya taarifa hizi.

Wengine hata kulipwa na kushawishiwa na vyama gombea kueneza sifa mbaya juu ya serikali iliyopo madarakani. Hapa utaona nimeviita vyama upinzani vyama gombea kwani ni kweli na naamini ni harakati tu za kukizidi chama tawala walakini basi tuangalie uhalisia wana nchi yetu hata na nchi zilizoendelea; baada ya uchaguzi ni mwendo wa “Majority Rule, Minority Right”.

Hivyo sio muda wakuendelea na kampeni/ siasa dhidi ya chama tawala kilichoshinda uchaguzi waliopambania wote bali ni muda wa vyama vyote; Waliowengi kutawala na waliowachache kupata haki yao kushirikiana. Ushirikiano wa kulijenga taifa kwa kuleta hoja za maendeleo bungeni na utendaji nyakinifu kulijenga taifa ikiwa ni pamoja na kutunza amani na usalama nchini.

Nikikumbuka trend za mada ya maandamano yaliosemekana kuwa ni ya Mange Kimambi kutokana na taarifa kadha wa kadha alizotoa kupitia mtandao wakijamii unaojulikana kama Instagram. Aliwafikia wengi na kufikia kiwango cha kuongelewa na viongozi wa Tanzania na balozi mbalimbali nchi za nje ikiwemo Sweden, Uingereza, Australia yaani taswira nzuri ya nchi kuchafuka ulimwenguni kote!

jE Tunajenga tunabomoa?
 
Mambo yanayohusu watu wote lazima yajadiliwe. Hupaswi kumkataza mtu kutoa mawazo yake - ni hake yake ya msingi na kikatiba pia.

Tatizo wasiojua wanachanganya mambo ya kichama na mambo ya kiserikali. Mtumishi wa serikali ninapomwongelea kwa madudu aliyoyafanya hupaswi kunitazama kwa jicho la kisiasa. Nitazame kwa jicho la mtanzania ambaye serikali inanihusu - chama hakinihusu.

Tatizo linakuja wapi?
Ni pale ambapo watumishi wengi wa serikali ni makada wa chama fulani - hivyo wakiboronga na chama chao kikawatetea hapo ndo kunatokea mvurugano. Chama kama chama inabidi kiwakosoe watendaji wake na ikibidi kuwaadabishe.

Mtoa mada nakumbuka unakumbuka kipindi cha watu kutumbuliwa wananchi walivyokuwa wakifurahi. Hawakufurahi watu kutumbuliwa bali walifurahi kiongozi kumulikwa kwa madudu yake.

Tangu nimekuwepo sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa japo walio wengi huwa wananipachika kwenye chama fulani ambacho kina watu smart.

Nisiandike mengi nafikiri nimeeleweka!.
 
Je tunajenga au tunabomoa?
Pia sio mpenzi wa siasa bali napenda kusoma habari mbalimbali mitandaoni, pindi nikutanapo na hoja zakuchafua sifa nchini kwangu inanikwanza, ukizingatia na tafuta sana scholarship nikasome huko nje ya nchi sasa najiuliza hao watoa scholarship wanaionanje Tanzania?
Na kwanini watupe nafasi ya scholarship!?
 
Kwa hiyoy wewe unafunika kikombe ili mwanahalamu apite?

Ukweli usemwe wazi ili wanaotukosea wajirekebishe.
 
Kutoa habari zisizo za ukweli na uhakika, Watumiaji mbalimbali huposti taarifa zisizo za ukweli na nyingine zakichonganishi kutokana na kutokujali matokeo ya taarifa hizi.

Wengine hata kulipwa na kushawishiwa na vyama gombea kueneza sifa mbaya juu ya serikali iliyopo madarakani. Hapa utaona nimeviita vyama upinzani vyama gombea kwani ni kweli na naamini ni harakati tu za kukizidi chama tawala walakini basi tuangalie uhalisia wana nchi yetu hata na nchi zilizoendelea; baada ya uchaguzi ni mwendo wa “Majority Rule, Minority Right”.

Hivyo sio muda wakuendelea na kampeni/ siasa dhidi ya chama tawala kilichoshinda uchaguzi waliopambania wote bali ni muda wa vyama vyote; Waliowengi kutawala na waliowachache kupata haki yao kushirikiana. Ushirikiano wa kulijenga taifa kwa kuleta hoja za maendeleo bungeni na utendaji nyakinifu kulijenga taifa ikiwa ni pamoja na kutunza amani na usalama nchini.

Nikikumbuka trend za mada ya maandamano yaliosemekana kuwa ni ya Mange Kimambi kutokana na taarifa kadha wa kadha alizotoa kupitia mtandao wakijamii unaojulikana kama Instagram. Aliwafikia wengi na kufikia kiwango cha kuongelewa na viongozi wa Tanzania na balozi mbalimbali nchi za nje ikiwemo Sweden, Uingereza, Australia yaani taswira nzuri ya nchi kuchafuka ulimwenguni kote!

jE Tunajenga tunabomoa?
 
Kutoa habari zisizo za ukweli na uhakika, Watumiaji mbalimbali huposti taarifa zisizo za ukweli na nyingine zakichonganishi kutokana na kutokujali matokeo ya taarifa hizi.

Wengine hata kulipwa na kushawishiwa na vyama gombea kueneza sifa mbaya juu ya serikali iliyopo madarakani. Hapa utaona nimeviita vyama upinzani vyama gombea kwani ni kweli na naamini ni harakati tu za kukizidi chama tawala walakini basi tuangalie uhalisia wana nchi yetu hata na nchi zilizoendelea; baada ya uchaguzi ni mwendo wa “Majority Rule, Minority Right”.

Hivyo sio muda wakuendelea na kampeni/ siasa dhidi ya chama tawala kilichoshinda uchaguzi waliopambania wote bali ni muda wa vyama vyote; Waliowengi kutawala na waliowachache kupata haki yao kushirikiana. Ushirikiano wa kulijenga taifa kwa kuleta hoja za maendeleo bungeni na utendaji nyakinifu kulijenga taifa ikiwa ni pamoja na kutunza amani na usalama nchini.

Nikikumbuka trend za mada ya maandamano yaliosemekana kuwa ni ya Mange Kimambi kutokana na taarifa kadha wa kadha alizotoa kupitia mtandao wakijamii unaojulikana kama Instagram. Aliwafikia wengi na kufikia kiwango cha kuongelewa na viongozi wa Tanzania na balozi mbalimbali nchi za nje ikiwemo Sweden, Uingereza, Australia yaani taswira nzuri ya nchi kuchafuka ulimwenguni kote!

jE Tunajenga tunabomoa?
Watumiaji wa nini?madawa ya kulevya au nini,tulia uandike vizuri,hata sijui una haraka ya wapi,maana hakuna hata linaloeleweka umeliandika hapa,labda wajao watakuelewa...
 
Watumiaji wa mitandao hii.. wewe na mimi....[ watumiaji wa internet ], pia piga kura yako tuchanganue je tunalijenga Taifa la Tanzania au tunabomoa sura yetu katika nchi za kigeni na watalii?
 
November 2018

Waziri Mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa aonya juu ya unyanyasaji kwa kupitia mitandao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka husika pamoja na Makampuni ya simu nchini kuwafichua na kuwachukulia hatua watu wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya na kuwasababishia watu wengine kudharauliwa na kupoteza heshima.
Source : Daily News Digital
 
Watumiaji wa mitandao hii.. wewe na mimi....[ watumiaji wa internet ], pia piga kura yako tuchanganue je tunalijenga Taifa la Tanzania au tunabomoa sura yetu katika nchi za kigeni na watalii?
Mimi sifahamu faida ya kusifia nchi yetu mitandaoni, kwa ufahamu wako ikiwa tutaisifia nani ataona na ni nini tutapata?! Umeongelea kuchafua, hili nalo sielewi nchi inachafukaje mitandaoni na ni nani anaangalia huo uchafu au usafi? tukichafuka mitandaoni tunaadhibiwa au inakuwaje, na ninani mwenye jukumu hilo la kutuadhibu?!
Ninachofahamu; kama kuna jambo baya tutalifanya nchini, kama kuteka mtu au watu Fulani, na ikajulikana kwa media ikatangaza. nchi zenye mabalozi hapa au uwakilishi hapa watafahamu pia. Hawa mabalozi au wawakilishi wa mataifa ya nje nchini hawafanyi cencorship mitandaoni kutafuta watu wangapi wanasema mazuri na wangapi wansema mabaya, wao wana njia zao kupata taarifa, na hawafanyii kazi majungu. kama kipo kipo na hakipo hakipo.
Usijali hii mitandao huwezi zuia lolote, unaweza kuwatisha lakini hutowazuia watu. Hongera kwa jitihada zako lakini.
 
Back
Top Bottom