NATAKA KUJUA AINA GANI YA HII GARI

NATAKA KUJUA AINA GANI YA HII GARI

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,578
2015_Nissan_Murano_SV_AWD,_rear_left_side.jpg
jamani hii gari nimeipenda sana sana ila nataka kujua ni aina gani ya gari ili likae moyoni vizuri maana mimi sio mtaalamu sana. nissan murano ipi? maana ukisema murano ziko nyingi
 
Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa.
 
Umeweka picha ambayo jina la gari lipo wazi kabisa kama makalio ya mbuzi halafu unakuja kuuliza hapa.
sio hivyo mkuu nikitafuta murano sipati aina hiyo inakuja ya ajabu ajabu sasa nashindwa jinsi ya kuandika direct na ili nilipate.
 
Back
Top Bottom