Nataka kujiunga na TANAPA

Nataka kujiunga na TANAPA

Tatemahunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
232
Reaction score
92
habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........
 
wewe ni mchaga au unatokea tanga?
 
Hiwezi kufanya kazi TANAPA you are still raw!!! Get rippen first
 
habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........

Bwan mdogo hongera sana kwa wazo lako, najua wengi mnapenda kujiunga na jeshi la porini kwa vile kuna mihela (as you think) usijidanganye, kushi porini kama ngiri wala sio ishu. From my experience utapewa hiyo m2 kwa mwezi na ukaishia kupiga pombe na wanawake tu, mazingira yanabadili sana watu. Fanya fani nyingine tu, ila kama unajiona una wito ingia hapa www.mnrt.go.tz/pasiansi kuna chuo unaweza anza kama ranger then uingie tanapa kama askari. Kwa udaktari sahau, watu wa BVM SUA wako kibao mtaani huwezi compete nao na vyeti vya kuunga unga
 
Mambo haya matatu yakusaidie kufanya uamuzi:

1. Ndoto nzuri sana lakini sijuhi uwe mtoto wa kigogo gani ili ufanye kazi TANAPA!

2. Pia itabidi ukasomee kule Mweka, Pasiansi, Olmotonyi au SUA...

3. Zingatia pointi namba 1 hapo juu
 
Hahhaaaaa kazi za watu wake..BT jaribu bwana ya Mungu mengi
 
Mambo haya matatu yakusaidie kufanya uamuzi:

1. Ndoto nzuri sana lakini sijuhi uwe mtoto wa kigogo gani ili ufanye kazi TANAPA!

2. Pia itabidi ukasomee kule Mweka, Pasiansi, Olmotonyi au SUA...

3. Zingatia pointi namba 1 hapo juu

duh!!! ndo sina hata hamu tena na TANAPA mana sina hata ndugu ngazi za juu na sipo tayari kuchezea maisha yangu bahati nasibu...nashkul kwa ushauri
 
tanapa ina wenyewe mm nimeamua kyachana nao this year baada ya miaka tisa bila cheo, wala ruhusa ya shule i hate this...
 
jeremy kaeleza ukweli kabisa ila unaweza kuanzi ksms vp karibu tpdc kaka
 
habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........

.....Inawezekana kabisa dogo !! kapige hiyo Diploma ya mifugo then Nenda Mweka ....wasikutishe watu sisi tulianza hukohuko ....
 
Wewe Tatemahunda haujipendi au? Pale ukitaka kazi sharti uongee na Kinana ili akupe masharti na ukijifanya unajuwa tu utang'olewa kucha na pliers.
 
Last edited by a moderator:
hakuna anayemtisha tunamwambia ukweli ili akienda ajue situation nzima ! c unaropoka ropoka eti tunamtisha, ss tulikuwa huko tikachota tukasepa ila sasa miaya hakuna usije ozea jera
 
kasome mweka huko, pasi nini sijui..diploma ya mifugo sikushauri, nenda tanapa kama askari, tatizo utakuta ulifeli fom 4 na siku hizi ata askar anatakiwa afaulu utata unaanzia hapa...,
 
duh!!! ndo sina hata hamu tena na TANAPA mana sina hata ndugu ngazi za juu na sipo tayari kuchezea maisha yangu bahati nasibu...nashkul kwa ushauri

Ukiwa binti "watakunaniii naii" alafu wakichoka unashangaa mkataba unasitishwa kiaina! TANAPA ni ya kuweka mbali na mabinti!
 
Back
Top Bottom