Nataka kujiunga na kifurushi cha mwezi cha Tigo

Nataka kujiunga na kifurushi cha mwezi cha Tigo

Natural

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
49
Reaction score
12
Kwa yeyote anayejua kifurushi kizuri cha Tigo cha mwezi: tafadhali nisaidie. Nipige namba gani?
 
Kifurushi cha mwezi ni sh. 10500/=.....Weka kwanza ilo salio kwenye simu yako...

Kisha kwenye eneo la ujumbe andika neno Month kisha unatuma kwenda 15166...
 
Kwa yeyote anayejua kifurushi kizuri cha Tigo cha mwezi: tafadhali nisaidie. Nipige namba gani?
Anzia Hapa *148*00#
Rvsxnr
Pia Pitia hapa [Wamechanganua kila kifurushi]
 
kifurush cha mwez ni 10500 kujiunga andika mwezi kwenda 15166, ila kwa personal experience unga cha wiki kwa sh 3700 andika neno wiki kwenda 15166. kifurush cha wiki unapata speed kubwa zaidi.
 
Hivi vifurushi vya 10500 ni kwa ajili ya internet tu? Hutoweza kupiga wala msg?
Manake tigo wezi sana mimi nilijiunga cha mwezi cha elfu 30 ambacho wanasema ni unlimited internet kuperudi na GB 3 za kudownload ila kilidumu kwa ck 2 tu na sikuwa nimedownload chochote zaidi ya kuperuzi. Tigo wezi sana wameshaniibia mara nyingi sina imani nao.
 
Hat mimi nakuunga mkono Tigo Voda na Airtel wote ni wezi sana tena sana siku hizi wizi wao upo kwenye hizi data package siku naenda internet cafe .
 
Back
Top Bottom