mzanzibara-
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 179
- 61
Naomba msaada jamani, kila ninapoweka vocha ya tigo kwenye line yangu wanakata kiasi cha pesa wanasema nimeunganishwa internet ya tigo rafiki, nifanyeje niweze kujitoa, manake natumia nokia ya tochi sasa mambo ya browsing hakuna
naomba msaada
naomba msaada