nataka kujipa BAN

Naomba unipe kazi ya kukusababishia ban ya exactly hizo week kadhaa unazohitaji!!!:A S 41:
 
Naomba unipe kazi ya kukusababishia ban ya exactly hizo week kadhaa unazohitaji!!!:A S 41:
Mwambie aende kwenye jukwaa lako mkakutane kule....
Naaamini itamchukua post 3 tu kabla hajapigwa ban ya mwezi
 
hahahaha,,, Erickb52, siku hizi nimekuwa mpole, siwasababishii tena watu ban!! natafuta kwenda peponi.
Teh ila una uzoefu na lile jukwaa maana mh lataka moyo...
Mbona mkeo Cantalisia umemwacha anatangatanga majukwaani hana uelekeo?
Teh natania aisee asijenitoa macho
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…