Nataka kujifunza kitaliano hapa Dar,

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2008
1,003
83
Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu gani bora kuliko zote naweza kujifunza kitaliano walau kwa miezi mitatu hivi. nashukuru wakubwa. Mungu awabariki.
 
no data about dar and italiano! but you can start learning online! there are so many resourses for learning any language! 65% guaranteed!
 
Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu gani bora kuliko zote naweza kujifunza kitaliano walau kwa miezi mitatu hivi. nashukuru wakubwa. Mungu awabariki.

Kuna shule ya lugha za kigeni pale Sinza Afrika sana, kabla ya Bamaga, ukitokea Sinza ni upande wa kushoto, mkabala na Hongera Bar, ilipokuwa Nola zamani. Kuna walimu wa lugha za kigeni hapo mahali!
 
Nenda Zenj ukamuone huyu jamaa nahisi anaweza kukusaidia

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=mBbQeW8AwsE[/ame]
 
Back
Top Bottom