Nataka kujiendeleza University of Rwanda

Nataka kujiendeleza University of Rwanda

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,333
Reaction score
402
Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali baada ya kurudi?
Screenshot_20250530-220432~2.png
 
Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali baada ya kurudi?View attachment 3351346
TCU hawana shida mkuu. University of Rwanda ni chuo kikubwa sana. Na hyo miaka minne sio shida maana wao wanasoma miaka mitatu bila kwenda field then mwaka mwisho wote ndo wanafanya field.
 
TCU hawana shida mkuu. University of Rwanda ni chuo kikubwa sana. Na hyo miaka minne sio shida maana wao wanasoma miaka mitatu bila kwenda field then mwaka mwisho wote ndo wanafanya field.
Vipi garama za maisha ya kichuo chuo hapo
 
Tunakutakia masomo mema, hakikisha unweka bendera ya taifa Kila unapoiwakilisha jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom