Kwa mfano maeneo yote ya Cholle Road, Sea Cliff nk nambie boda boda iko eneo lipi?
Mbona hayo uliyoyataja yapo...mama ntilie, vigenge, boda wapo sana...Mungu akutangulie kwenye kutimiza ndoto zako Mkuu. Ukipenda kuishi Masaki au Osterbay jipange. Viwanja vinapatikana kwa kuwavua watu andaa 1- 3 Billion. Nyingi ya Nyumba zamani zilikuwa za Serikali lkn ziliuzwa kwa Watumishi enzi hizo wengi wao kwa sasa wanastaafu au wamestaafu hivyo wanavuliwa sana. Wengi pia walishauza, ingawa wakati serikali inawauzia kuna kipengele kwenye Mkataba kilizuia kuuza nyumba hizo.
Kuhusu Nyumba za kupanga Masaki zipoo kuanzia BnB, Bungalow, Apartment nk nk ispokuwa kodi jipange kuanzia 2.5-10M kwa mwezi.
Kuishi masaki kwa sie waswahili ni mateso si kitoto, hakuna genge la nyanya, hakuna kibanda cha Mangi, hakuna kituo cha boda boda, hakuna ruti ya dala dala nk nk nk
Cholle Road boda wapo bachresa pale zinapopark daladala...Kwa mfano maeneo yote ya Cholle Road, Sea Cliff nk nambie boda boda iko eneo lipi?
Labda masaki ya ChanikaMbona hayo uliyoyataja yapo...mama ntilie, vigenge, boda wapo sana...
Bila kusahau barabara mbovu na madimbwi huko masaki
Katoka maeneo yaliyokuwa yanaongoza kwa shida ya maji ni Masaki sijui hilo yatizo lilishamaliziika?Hope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Mkuu mara ya mwisho kutembelea masaki lini?Labda masaki ya Chanika