Nataka kuikimbia Dar es salaam

Kwa sasa nakushaur huyo usidili na demu yoyote..ishi kigumu kwanza..kusalitiwa inauma ila ichukue kama motivation mwako..tafuta kaz/dili yoyote yenye kuingiza kpato halali na kukuweka busy kdgo umsahau huyo demu,then mambo yatajipa mbele ya safari. Na kila kitu kitakua okay
 
Nimesikia canada wanahitaji wahamiaji wengi ili kukuza uchumi wao uliokuwa affected na Covid. Jitose uko jamaa
 
Njoo Moro mwana.
 
Pole Sana..sikushauri uhame dar..pambana na usichague kazi ili mradi iwe ya halali.
 
Mikoani kugumu, we baba huko huko Dar!
 
Nimesoma hoja yako nimeoma maeneo mawili lakini kabla ya yote kijana pambana maisha sio ya lele mama, ukiuza smart yako utapata mtaji na mpenzi wako utampooza mtaishi poa hilo la kwanza lakini pili mimi ninavyofahamu kwa kidogo tu NSSF hawatoi asilimia 8, bali ni asilimia 33.3 ya ule mshahara wako uliokuwa unalipwa kipindi unasimamishwa kazi, tuchape kazi kulia lia mtandaoni hakusaidii, unapata pole tu.
 
Nenda kwa Bulldozer Boniface Mwamposa ukakanyage mafuta utafunguliwa.Mambo yako yatarudi kuwa barabara
 
So mikoani watu wanamiliki magari,majumba na mashamba tu,hiyo itakua mikoani ya jf..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Unaendaga kanisani/msikitini?
 
Asante maishapopote
 
Pole sana mdau...
Nenda serikali ya mtaa wakupe barua za kukutambua....then futa utaratibu ukapate kibanda cha nje pale Stendi mpya Mbezi Loius....hizo pesa ukiuza hivyo vitu unaweza fanya kitu anza na kidogo ulicho nacho then wadau wanaweza kukusaidia kadri ya uwezo wao....
 
Nipo napitia Michango ya WADAU hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…