Habari wakuu,
-Kutokana na kudorora biashara yangu nimeamua kufunga biashara yangu dar na nimefikiria kufungua nchi jirani
-Nimefikiria nchi ya Zambia,ila kutokana na watu wengi kuwa na exposure naombe mnipe ufahamu
-Sheria zao kuhusu mtu kuhamia
-Maisha yao kwa ujumla
-Mji mzuri kwa biashara
-Mzunguko wa biashara na pesa
Kiasi nachoweza kuwekeza 30M.
Asanteni