Nataka kuhamia continental decoder, watumiaji wake niambieni ubora

duuuuuh kumbe hawa jamaa ni mashetan duuuh wakat startime dish wanaacha dish channel 8 bure
Mkuu, Star times king'amuzi kikiisha zinabaki ch idadi 8! Wameanza lini?
Maana nijuavyo, huwa wanabakisha ch idadi2, ie: Tbc na Tv1 basi.
 
Mkuu, Star times king'amuzi kikiisha zinabaki ch idadi 8! Wameanza lini?
Maana nijuavyo, huwa wanabakisha ch idadi2, ie: Tbc na Tv1 basi.
kuna madish ya aina 3 kuna la laki na kumi kuna la elfu 80000 na kuna la starsat
Hayo ya laki moja wanaacha channel za kutosha nikisearch huwa napata 30
 
Unahamia kwenye kero mkuu no signal za kutosha na sav ikitokea wingu ni shida kifupi bado hawako vzr mm mwenyewe nataka nihamie azam.yaan hawako vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
continental wapo vzur kweny dish ila ukilifunga vzury signal quality ikiwa 60 na ina channels 48 ila channels za kitaifa ukilipia 24000 utapat bure bila kikomo
 
Ving'amuzi ni majanga kwa sasa na wahusika wapo kimya tu
Wakuu wao wakimaliza kupima UTI labda ndipo wataangalia WALAJI wanateseka kiasi gani! Labda vingekuwa vya kina Manji wangevishughulikia lakini kwa sababu vinamilikiwa na wana wapendwa acha Watanzania tulipie gharama za CCM
 
continental wapo vzur kweny dish ila ukilifunga vzury signal quality ikiwa 60 na ina channels 48 ila channels za kitaifa ukilipia 24000 utapat bure bila kikomo
vp antenna? wana vifurushi tofauti???
 
Wakuu wao wakimaliza kupima UTI labda ndipo wataangalia WALAJI wanateseka kiasi gani! Labda vingekuwa vya kina Manji wangevishughulikia lakini kwa sababu vinamilikiwa na wana wapendwa acha Watanzania tulipie gharama za CCM
well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…