Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Kama huna dhambi Ahera ni nchi nzuri itakufas
utapata viza kwanza kirahisi?Na ya wapi,jibu hayo ndio tukupe ushauri
Nimesema Duniani Mkuu ahera nenda wewe
Pesa unayo ya kuhama nchi na ya kwenda kuanzia uendako?na una kiasi gani tukushauri hapaNdio nasubiri mniongoze katika nchi ambayo member wanadhani ni bora .
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise
Pesa unayo ya kuhama nchi na ya kwenda kuanzia uendako?na una kiasi gani tukushauri hapa
kama una pesa na sio kidogo iweke kwenye biashara hapo ulipo uendelee na maisha,next question?Ndio pesa ninayo wala si Kidogo
Kumbuka siendi huko kutafuta Chochote kile nataka sehemu zenye Usalama kwa Ujumla.
kama una pesa na sio kidogo iweke kwenye biashara hapo ulipo uendelee na maisha,next question?
Huna jipya. Tukikujibu utakuja kutuuliza hata kwenda chooni
Huendi kutafuta chochote, whether biashara au kazi? Now I can see u're not serious mkuu! Umejiwezesha kiasi gani ww? Una hela mpaka unaona Bongo inanuka unataka kuikimbia? Mh Ama kweli duniani Kuna mambo