Ok, basi me nikajua ndo nimedelete, sasa na ww siudeactivate tu alimradi hawakuoni inatosha
nenden uganda kwa msen haipatkan kabsa huko.
.
Kuna siku utajikuta tu unaingia!
.
Hiyo ni lazma
.
Me mbona cjajikuta nimeingia na unaenda mwaka wa pili sasa toka ni diacticate
hata mm nimejaribu mara nyingi imegoma ili cha kufanya kama unataka kuiblock ingiza namba ambayo siyo sahihi log in kama mara tatu wataiblock account yako
facebook ndio nini"!!??