Mimi nahitaji kufuta kabisa akaunti ya facebook jumla isiwepo kabisa lakini sioni sehemu ya kufutia akaunti ya facebook.nauliza kama nataka kufuta kabisa akaunti ya facebook nifanyaje?
Me pia nilishafuta yangu ila sidhani kama nakumbuka vzr process ila ipo kwenye setting
.Me pia nilishafuta yangu ila sidhani kama nakumbuka vzr process ila ipo kwenye setting
Kwenye setting nikiingia nakuta option ya ku DEACTIVATE akaunt lakini option ya ku DELETE siioni.
Hata Mm pia mtakuwa mmenisaidia wandugu, lkn hii link ya permanent Facebook account deletion unaingilia au unatype wp? Google au wp wandugu?
.
Ulichokifanya wewe uli DEACTIVATE ACCOUNT ikiwa na maana huwezi kuonekana FB lakini muda wowote unaweza kuingia! Ok?
.
.
Sikiliza bwana mdogo
kwenye Facebook plofile hutakuja kukutana na option kama hiyo!
.
Zamani ilikuwa una send email kwao jamaa kisha wana kusabababishia
.
Ila kwa sasa inapatikana kwenye facebook help center
ila sio kwenye facebook profile kama unavyo dhani
ingia kwenye hiyo link hapo juu niliyokupa.....
.
Mambo yatajipa!
Nimeingia kama ulivyo sema nika login baada ya hapo sikuoni cha kufanya.Je Kama Nimesha Login In Kwenye Hiyo Link Ina Akaunti Itafutika.Maana Nimeingia Na Akaunti Imefunguka Kama Kawaida Na Option Ya Kudete Sikuiona.
facebook ndio nini"!!??
.
Sasa kaka hakikisha umeisha log in kwanza ndipo u click hiyo link!
.
Got em ?
.
.
Kaka/dada kwa mfano wewe
.
Ukichukua kitabu afu ukawa una kitazama hapo tutasema una FACEBOOK
.
kwahiyo FACEBOOK mana yake ni KUKITAZAMA kitabu ?
.
Ingia hapa
.
Permanent Facebook Account Deletion
.
Kama una nia kweli afu we iache baada ya siku 14 haito kuwepo
ila kama una act shauri yako
maana hauwezi irudisha tena