MKUU HONGERA SANA KWA KUTAKA KUJIAJIRI, NA HAO NDO WATU MNAO TAKIWA MTOE AJIRA NCHI HII, NA SI KUTAFUTA KAZI.
1. Mkuu kuhusu ku decrela Capital ambayo hamko nayo, kuna madhara yake tena mengi tu.
- Kumbuka kampuni ni lazima ikaguriwe, yaani kila mwaka mnapeleka mahesbu yaliyo kaguliwa kule brela so hapo hizo capital mlizo zitangaza lazima zionekane
- Kwenye kutaka mkopo Benki, hapo ndo inaweza kuwa kikwazo zaidi, kwani lazima Benki wapate maelezo ya hizo capital zenu
- Hata kutafuta watu wakuingia nao ubia, make watataka mahesabu ya kampuni yali clear na si usanii.
MNAWEZA KUTAMKA KILE MLICHO NACHO, KWA SABABU KILA MWAKA MTAKAPO KUWA MNAANDAA MAHESABU YA KAMPUNI YA YATOENYESHA MTAJI UMEONGEZEKA
2. Kuhusu watu wakuingia nao Ubia, hapa ndo sehemu ambayo watu huwa wanafanya makosa makubwa sana, hapa ndo biashara nyingi huwa zinafia. KUTASELECT PARTNERS INAHITAJIKA UMAKINI WA HALI YA JUU MNO.
- Inatakiwa wote muwe na malengo sawa, yanayo fanana
- Wote muwe tiyali kutumia muda wenu mwingi na pesa zenu za mfukoni kuendesha kampuni mpka pale itakapo simama na kujiendesha kwa faida
- Kuna mtu ukimwambia muazishe nae kampuni anakubali mara moja kwa sababu anajua kampuni ni pesa tu yaani ndo umasikini unamtupa mkono but hajui kwamba kuanzisha kampuni na kuindesha mpka isimame wima si mchezo kabisa, kuna milima ya kufa mtu na mabonde ya kufa mtu
CHEKI NA HIZO POINT ZA KUTAFUTA PATINA[h=2]1. Find a Partner That Shares Your Values, Entrepreneurial Spirit, and Vision[/h]Of all the things to look for in a partner this is probably the most important. You will need to be able to communicate effectively with your partner to make decisions, set goals, and drive the business forward. If you partner with someone that is reluctant, combative, or unable to consider your viewpoint it will be harder to be successful.
[h=2]2. Find a Partner That Can Bring Skills and Experience to The Business[/h]A good business partner should have skills that support and compliment your own. No single person is a master of all things business. If you have great interpersonal skills but poor business finance skills, consider a partner who understands business accounting. The more skills you and your partner bring to the business together the easier it will be to start, plan, grow, and run your business.
[h=2]3. Look For a Partner Without A Lot of Personal Baggage[/h]If your partner has serious challenges in his/her personal life it may carry over into the business. It is nice to be willing to give someone a chance, but running a small business takes focus, time, and tremendous energy. If your partner is dealing with one personal crisis after another you may find yourself carrying the weight of the business.
[h=2]4. Find a Partner That Can Offer Resources and Credibility to Your Business[/h]It is great to have a business partner that has financial resources, but there are other contributions a partner can bring to the business that can be just as valuable. A partner with a strong business network, industry connections, client list, or certain credentials and expertise can also increase the value of your business and improve your chances for achieving long-term success.
[h=2]5. Choose a Partner That Practices Good Personal and Business Ethics[/h]Only enter into partnerships with someone you can trust. Look for someone who values honesty and practices good personal and business ethics. A poorly chosen business partner may end up stealing from the company, taking your ideas or clients to start their own business, or breaking laws that could get your business into legal trouble.
[h=2]6. Choose a Partner That is Financially Stable[/h]Whether or not your partner contributes financially to the business is less important than if your potential partner is in dire financial straits. Someone in the middle of a financial crisis may not be the best choice to go into business with for a variety of reasons. Money, asset, and time management skills are critical for small business entrepreneurs and someone who has grossly mismanaged their personal or business finances may not have the skills or discipline to make a business partnership work. Worst case scenario, they may even look for ways to steal from your business to solve personal financial problems.
[h=2]7. Respect: A Necessary Element to Forming a Successful Partnership[/h]You should never partner with someone that you do not respect. The main purpose in forming a partnership is to achieve success as a team. You may not value the opinion and efforts of someone you do not respect at least on a professional level. You also want to partner with someone that will show you respect as a partner, business professional, and as the founder of your business.
3. KUHUSU SHARE, HAKIKISHA MUANZILISHI WA WAZO LA BIASHARA UNAKUWA NA SHARE NYING KULIKO WENGINE ILI KULINDA WAZO LAKO LA BIASHARA, YAANI UNAKUWA CONTROLA WA KAMPUNI, KIVIP?
- KAMA SHARE ZIKO 1000 NA MKO WATU 5KATIKA SHARE
Hakikisha unabakia na share 502 na hizo 448 ndo wagawane hao wengine
- MKIGAWANA SHARE SAWA SAWA NA KWENYE ARTICAL OF ASOCIATION INASEMA MWENYE SHARE NYINGI NDO ATAKUWA NA MAAMUZI YA MWISHO KWENYE MASWALA YA KAMPUNI ITAKULA KWAKO KWA SABABU MKIWA NA SHARE SAWA, SIKU MOJA WALE WENGINE WA NNE WANAWEZA AMUA KUUNGANISHA SHARE ZAO NA WAKATAWALA KAMPUNI NA WEWE UKABAKIA BILA USEMI KWENYE KAMPUNI.
SO KWENYE ISHU YA % ZA SHARE ILI KULINDA WAZO LAKO HAKIKISHA UNAKUWA NA 51% YA SHARE ZOTE. HAPO HATA WALE WENGINE WAKIUNGANISHA ZAKWAO BADO HAWATAKUWA NA SAUTI KATIKA KAMPUNI.
- HII NI ENDAPO KUTATOKEA UGONVI NA MASILAHI BINAFISI NDANI YA KAMPUNI