MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Mimi nina knowledge kubwa kuhusu kubadilisha magari ndani ya muda mfupi,yaani ndani ya masaa mawili naweza kubadilisha gari jipya kuwa vipande karibia 50 (we call that chopping).
Nilikuwa nina mpango wa kufungua workshop hapa mjini so hatua zote za awali nimekamilisha ,nachohitaji ni eneo la kufanyia kazi.
Kama mtu anajua eneo lenye sifa hizi naomba tuwasiliane
Nilikuwa nina mpango wa kufungua workshop hapa mjini so hatua zote za awali nimekamilisha ,nachohitaji ni eneo la kufanyia kazi.
Kama mtu anajua eneo lenye sifa hizi naomba tuwasiliane
- Eneo ambalo liko karibu na parking lots kubwa mfano M/city,Udsm nk
- Eneo ambalo halina watu wengi sana wanaopitapita
- Liwe karibu na umeme wa njia tatu,maana sometime tunatumia mashine nzito
- kuwe na uzio esp uwe mrefu kwenda juu
- Barabara isiwe na foleni sana