for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,440 Jul 7, 2016 #61 hao ndo wale ndege tulo zuiwa kuwafuga majumbani ila kanga ndo tunafuga tu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,257 Jul 7, 2016 #62 Nyemanze said: Ivi pale jengo jeupe huwa hawarukagi kutoka nje hawa ndege, Click to expand... Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA.
Nyemanze said: Ivi pale jengo jeupe huwa hawarukagi kutoka nje hawa ndege, Click to expand... Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA.
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,945 Jul 7, 2016 #63 [QUOTEm5, post: 16767472, member: 196493"]Wapo wengi tu pale jengo jeupe![/QUOTE] wengi wameshapandishwa ndege
[QUOTEm5, post: 16767472, member: 196493"]Wapo wengi tu pale jengo jeupe![/QUOTE] wengi wameshapandishwa ndege
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,695 Jul 7, 2016 #65 mwanga lutila said: Hivi mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga? Click to expand... mbona hata mitaa ya ohio pale kama unateremsha gym khana wapo tele tu tena kwenye miti,huwaga sijui ni wa nani maeneo yale maana wamezagaa..
mwanga lutila said: Hivi mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga? Click to expand... mbona hata mitaa ya ohio pale kama unateremsha gym khana wapo tele tu tena kwenye miti,huwaga sijui ni wa nani maeneo yale maana wamezagaa..
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,962 Jul 7, 2016 #66 Munkari said: "Tausi ni ndege wangu ndege wangu wa fahari ndege ..... Dah umenikumbusha mbali mkuu! Click to expand... Dama, Mjuba, Mzee Kasri, Kilonzo.... Aunt Viv, etc
Munkari said: "Tausi ni ndege wangu ndege wangu wa fahari ndege ..... Dah umenikumbusha mbali mkuu! Click to expand... Dama, Mjuba, Mzee Kasri, Kilonzo.... Aunt Viv, etc
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,583 Jul 7, 2016 #67 Slim5 said: Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA. Click to expand... Sio salama wenyewe wanasema NGUVUNI!
Slim5 said: Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA. Click to expand... Sio salama wenyewe wanasema NGUVUNI!
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,257 Jul 7, 2016 #68 gnassingbe said: Sio salama wenyewe wanasema NGUVUNI! Click to expand... Aaaah. Aaaah.Aaaah. Aaaah. Aaaah.
gnassingbe said: Sio salama wenyewe wanasema NGUVUNI! Click to expand... Aaaah. Aaaah.Aaaah. Aaaah. Aaaah.
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Jul 7, 2016 #69 Munkari said: "Tausi ni ndege wangu ndege wangu wa fahari ndege ..... Dah umenikumbusha mbali mkuu! Click to expand... Hivi ile mchezo uliokuwa ukioneshwa runingani kupitia ITV haupatikani mtandaoni? Nimekumbuka hicho kibwagizo.
Munkari said: "Tausi ni ndege wangu ndege wangu wa fahari ndege ..... Dah umenikumbusha mbali mkuu! Click to expand... Hivi ile mchezo uliokuwa ukioneshwa runingani kupitia ITV haupatikani mtandaoni? Nimekumbuka hicho kibwagizo.
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Jul 7, 2016 #70 ISIS said: wanafika mpaka oysterbay na masaki! wako wengi sana siku hizi! ni ndege wa neema na utajiri! Click to expand... Wanafika huko na kisha kurudi au?
ISIS said: wanafika mpaka oysterbay na masaki! wako wengi sana siku hizi! ni ndege wa neema na utajiri! Click to expand... Wanafika huko na kisha kurudi au?
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Jul 7, 2016 #71 LUBEDE said: mbona hata mitaa ya ohio pale kama unateremsha gym khana wapo tele tu tena kwenye miti,huwaga sijui ni wa nani maeneo yale maana wamezagaa.. Click to expand... Watakuwa ni ndege wa serikali. Hao ni kama twiga tu, ukikutwa nao lazima uwekwe nyuma ya nondo.
LUBEDE said: mbona hata mitaa ya ohio pale kama unateremsha gym khana wapo tele tu tena kwenye miti,huwaga sijui ni wa nani maeneo yale maana wamezagaa.. Click to expand... Watakuwa ni ndege wa serikali. Hao ni kama twiga tu, ukikutwa nao lazima uwekwe nyuma ya nondo.
Tenno JF-Expert Member Joined Apr 7, 2016 Posts 323 Reaction score 158 Jul 7, 2016 #72 mwanga lutila said: Hivi mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga? Click to expand... Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa
mwanga lutila said: Hivi mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga? Click to expand... Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,257 Jul 7, 2016 #73 Tenno said: Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa Click to expand... Anamaanisha yeye si mtu wa kawaida. Ngoja aje atuonyeshe utofauti wake na akina sie
Tenno said: Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa Click to expand... Anamaanisha yeye si mtu wa kawaida. Ngoja aje atuonyeshe utofauti wake na akina sie
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,765 Reaction score 9,243 Jul 7, 2016 #74 Nyemanze said: Ivi pale jengo jeupe huwa hawarukagi kutoka nje hawa ndege, Click to expand... Mimi huwa nawaona wamo ndani tu nadhani huwa hawatoki nje. Kunguru ndo hutoka nje.
Nyemanze said: Ivi pale jengo jeupe huwa hawarukagi kutoka nje hawa ndege, Click to expand... Mimi huwa nawaona wamo ndani tu nadhani huwa hawatoki nje. Kunguru ndo hutoka nje.
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,765 Reaction score 9,243 Jul 7, 2016 #75 Slim5 said: Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA. Click to expand... Ina maana wanalindwa kama bosi pia; nilitaka kamata mmoja siku moja nikajilie supu baada ya kuambiwa supu yake inaongeza nguvu za nanniii
Slim5 said: Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA. Click to expand... Ina maana wanalindwa kama bosi pia; nilitaka kamata mmoja siku moja nikajilie supu baada ya kuambiwa supu yake inaongeza nguvu za nanniii
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,123 Jul 7, 2016 #76 Duuh sasa mi bado sijapata picha wala sijaelewa kwa nn wananchi wa kawaida wasiruhusiwe kuwafuga.. Au ndo uchawi wa mjengoni???
Duuh sasa mi bado sijapata picha wala sijaelewa kwa nn wananchi wa kawaida wasiruhusiwe kuwafuga.. Au ndo uchawi wa mjengoni???
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,657 Jul 7, 2016 #77 "Ndege mnana"
M msikivu66 JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 254 Reaction score 125 Jul 7, 2016 #78 Ni Tausi (dume)
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,695 Jul 7, 2016 #79 Tenno said: Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa Click to expand... asa huo ukawaida si ndio usawa wenyewe au? ngachoka!
Tenno said: Hakuna mtu wa kawaida hapa duniani wote ni sawa Click to expand... asa huo ukawaida si ndio usawa wenyewe au? ngachoka!
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,573 Jul 7, 2016 #80 Mwanapropaganda said: Wanafika huko na kisha kurudi au? Click to expand... Wengine wanarudi