Nataka kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya sauti na picha.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya sauti na picha..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Stv Mkn, Feb 28, 2012.

 1. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari zenu,wakuu.
  Ninampango wa kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya biashara,ya picha na sauti...ninaipenda sana hii biashara.
  Ninaomba mawazo yenu,....nianzie wapi.naitaji nianze na nini haswa,inalipa kiasi gani,na wateja wakubwa ni nani?
   
 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,615
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280

  MKUU SAMAHANI KAMA NITAKUDH,

  -Mkuu ni vizuri tukawa seriasi, haingii akilini kwamba una aidea halafu hujui uanzie wapi, ni kama uje na wazo la kuvumbua gari la kutumia jua halafu uje kuwauliza watu hivi ni nitafanyaje kutengeneza gari la kutumia jua?

  - Ni bora tukawa siriasi kwa sababu nchi zingine ushauri kama huu unalipiwa pesa nyingi sana mkuu, mimi siwezi kuja hapa na wazo la kuyanzisha mgahawa halafu nianze kuuliza maswali haya.
  1. Je mgahawa unalipa?
  2. Je naanza na nini?

  Wakuu mimi naamini kwa mjasiriamli yoyote yule Duniani mpaka aje na wazo lake la biashara ameisha fanya uchunguzi wa kutosha, sasa huku kwetu ni kinyume kabisa, tunakuja na mawazo halafu hatujui hata hilo wazo linamaanisha nini.

  - Mfano mimi nina wazo la kufuga kuku wa halafu sijui hata hao kuku wanafananaje. wana rangi gani je wanataga au wanazaa, hayo yote sijui ila nina wazo la kufuga kuku, sasa hilo wazo nitakuwa nimelitoa wapi?

  - Hivi unaenda kwenye mashindano ya kupresent wazo la biashara inafika zamu yako wanakuuliza hilo wazo lako linalipa, wewe unasema sijui kabisa, je utaanza anza vipi kutekereza wazo lako? wewe unajibu sijui
   
 3. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nipo siriaz sana mkuu,sema labda namna ya uwakilishi wangu kwenu ndio haujakaa vizuri....kiukweri nimedhamilia kabisa kuifanya hii biashara,na nitaifanya sababu imenivutia...
  Naifahamu hii ishu kijuujuu sana,ukiniuliza naitaji nini ili niifanye hii biashara,nitakwambia niwe na kameras,printer,mic,kompyuta lakini huwa naamini kuna vitu vinaitajika zaidi ya hapo..
  Hii idea ilikuja baada ya kutizama tv na kusikiliza radio,nikauliza haya matangazo yanatengezwa wapi?nikaambiwa yanatengenezwa South Africa..hapo nikajiuliza nikianzisha kitu cha kutengeneza ivyo vitu hapa bongo kumbe wateja wapo!

  Sijawai kukutana wala simfahamu mtu yoyote anayeweza kunipa uzoefu ya hii biashara,ndio maana nikaja hapa nikiamini kuna wadau walau watanipa mwanga wa hii kitu..
  Nimedhamilia mkuu.
   
 4. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwenye kufahamu chochote kuhusu izi ishu anijuze tafadhari.
   
 5. i

  iMind JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,871
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa sasa matangazo ya picha na sauti hufanywa na tv's na radio. This is not right kwa sababu tv na radio zinatakiwa zipelekewe matangazo ambayo yamesha andaliwa na third parties kama wewe.

  Kwa mtizamo wangu, kwanza unatakiwa kulink up na hizo media ili wakipata adverts wakupe wewe kutengeneza ili wao wazitangaze tu. utapata ujira kidogo, ingawa with time advertisers watakutambua na wataanza kuna kwako before ya kwenda kwa media.

  What u should keep in mind is that currently media zinafanya hiyo kazi and you are trying to be the middle man btn media and advertisers.

  So first tengeneza sample adverts of existing adverts na nebda kwa wahusika (advertisers in this case) waambie weaknesea of their current adverts going on in the media na waonyeshe wewe ungepewa hiyo kazi ungefanyaje.

  Link up with the marketing guys, and promise them 20% return on every business they give u. yes Tanzania huwezi pata kazi kama hurejeshi some % to those who give u jobs. Haijalishi ni private, govt, ngo, UN org, they all take %.
   
 6. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimekusoma mkuu,umenipa kitu kizuri.
   
 7. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Sikia kaka kuna jamaa zangu wana kampuni na wanatafta watu kama wewe ili mrun hyo kitu.If upo serious ni pm au nipe mawasiliano yako
   
 8. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nakucheki soon.
   
Loading...