hata ukapata uraia wa Rwanda,kama wewe sio Mtusi sahau kabisa huyo demu
Umekaa Tanzania miaka yako yote bado Kiswahili hujui, leo hii ukienda Rwanda utajifunza lugha kwa muda gani ndio umtongoze huyo mtoto?
KUHONGA sio Kuonga pimbi wewe
Kusoma huwezi, hata picha huoni? Unataka maelezo gani mengine ya ziada. Tazama huyo mrembo!!! Dah!! Unaweza kuonga laki!!
Umekaa Tanzania miaka yako yote bado Kiswahili hujui, leo hii ukienda Rwanda utajifunza lugha kwa muda gani ndio umtongoze huyo mtoto?
KUHONGA sio Kuonga pimbi wewe
huwajui watutsi wewe tena mtoto wa Kagame?sahauWords are powerful than DNA, ndo maana leo baba yako akikwambia " kuanzia leo wewe sio mwanangu" basi inakuwa kama alivyo sema. Coming back to ur argument, being a tutsi is as simple as just saying " I AM A TUTSI". Hope ur in school
Wapo wakali kuliko yeye, by the way siwezi kuwa na ndoto kwa mtoto wa kagame, nimeonyesha tu ni namna gani watoto wa kitutsi ni wazuri.