Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
Nashukuru sanaKuhusu ukavu kunywa juice ya bamia lita moja kila siku....uteleki unaweza kwenda kumdaka nchi jirani
kuhusu genye ni wewe tu unavojituni
unakatakata bamia vipande vidogo dogo then unablendNashukuru sana
hiyo juice ya bamia inatengenezwaje?
unakatakata bamia vipande vidogo dogo then unablend
pia ule mboga ya bamia kwa wingi na nyanya chungu
unakatakata bamia vipande vidogo dogo then unablend
pia ule mboga ya bamia kwa wingi na nyanya chungu
mboga ya bamia na ngogwe huwa nakula sana, hiyo juice itabidi nianze sasa. Thanks
Nihivi tokea nimeolewa sina hamu tena ya ligwaride imetokea automatic sio makusudi kabisa sijuhi nifanyeje maana imeshakua tatizo kwangu naumia tuuu sijokoi kabisaaa, makeke yote niliyokua nayo kushinei ila kabla sijaingia mjengoni weeee, mume wangu analalamika mapenzi yameishia kwa mtoto yeye simjali tena kwa upande wangu mimi sioni Kama ni mtoto maana tokea nikiwa ma mimba tayari nilikuwa na hilo tatizo mpaka wakati mwingine inabidi tuache maana nakua mkavu sana nifanye nini mimi nikoe ndoa yangu? Natamani nianze kumpagawisha vilivyo ila namimi sinapaswa niwe tayari sasa sijuhi nile nini au ninywe dawa gani genye zirudi Kama zamani. Mzizi mkavu plz naomba ufunguke na hili tatizo langu
mambo ni mengi sana ila injini ya hayo makitu nia akili , suluhisho la fasta fasta kama ni mywaji wa pombe kunywa zanzi viroba glass moja kila siku auone huo ute huko chini utajibuje
Mtoto ana umri gani?
Duh! na zanzi tena jaman labda lkn ajaribu maana mi mnywaji wa hyo kitu sasa kama inaongeza mambo hayo tena itabidi niache fasta nicje nikawa na bwawa bure! ila mi naona ale bamia tu na ngogwe kwa wingi ikibidi afanye dozi ya kila cku ataona matokeo yake
napaka papachu au nakunywa?tafuta asali mbichi changanya na mdalasini tumia asubuhi na usiku unapolala
napaka papachu au nakunywa?