DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 Jan 17, 2017 #1 Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,601 Jan 17, 2017 #2 Kwani hizo siku kumi zina tatizo gani ktk maisha yako ya kawida ukiacha vyeti?
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 17, 2017 #3 Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji. Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti.
Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji. Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti.
DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 Jan 18, 2017 Thread starter #4 cheti kipo
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 Jan 18, 2017 #5 Castr said: Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji. Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti. Click to expand... ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana. mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
Castr said: Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji. Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti. Click to expand... ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana. mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,193 Reaction score 74,001 Jan 18, 2017 #6 Distinction said: ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana. mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu. Click to expand... Ndiyo nikasema kama una cheti. Kama huna ni mwokozi wako kwa ajira na mambo ya vitambulisho vya uraia.
Distinction said: ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana. mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu. Click to expand... Ndiyo nikasema kama una cheti. Kama huna ni mwokozi wako kwa ajira na mambo ya vitambulisho vya uraia.
NileSat JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 340 Reaction score 182 Jan 18, 2017 #7 Mkuu kama una cheti(Academic) Leaving certificate Haina maana yoyote
zunya JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 1,529 Reaction score 1,073 Jan 18, 2017 #8 leaving inamilikiwa na shule uliyosoma... nenda kwa academic mwambie anabadilisha tu tarehe kwa kukupa leaving mpya kabisa
leaving inamilikiwa na shule uliyosoma... nenda kwa academic mwambie anabadilisha tu tarehe kwa kukupa leaving mpya kabisa
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,532 Reaction score 81,261 Jan 19, 2017 #9 DUMEGUY said: Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante Click to expand... Leaving unapeleka wapi kwani. Hiyo hata ukiichoma haina tatizo. Labda kwa kumbukumbu tu ila sijawahi kuona matumizi yake
DUMEGUY said: Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante Click to expand... Leaving unapeleka wapi kwani. Hiyo hata ukiichoma haina tatizo. Labda kwa kumbukumbu tu ila sijawahi kuona matumizi yake
Hosea SM Jr Member Joined Nov 22, 2016 Posts 11 Reaction score 9 Jan 19, 2017 #10 Njoo nikupatie nyingine
C Charming0022 New Member Joined Oct 11, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Oct 12, 2023 #11 DUMEGUY said: Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante Click to expand... Habari
DUMEGUY said: Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante Click to expand... Habari
C Charming0022 New Member Joined Oct 11, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Oct 12, 2023 #12 Charming0022 said: Habari Click to expand... Samahani naomba kuuliza uliweza kurekebisha hizo tarehe kwenye leaving certificate?
Charming0022 said: Habari Click to expand... Samahani naomba kuuliza uliweza kurekebisha hizo tarehe kwenye leaving certificate?
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,173 Reaction score 26,910 Oct 12, 2023 #13 Hivi Kuna ofisi siku hizi inataka leaving certificate