Mwanawaadamu
Member
- Jan 11, 2014
- 89
- 52
Wadau msaada tafadhali.Napenda kujua nikitaka kuanzisha kufundisha ufundi Simu upande wa software kuna taratibu gani za kuzifuata ili kusaidia na wengine pia katika ujuzi huu?.
Anza Tu mkuuWadau msaada tafadhali.Napenda kujua nikitaka kuanzisha kufundisha ufundi Simu upande wa software kuna taratibu gani za kuzifuata ili kusaidia na wengine pia katika ujuzi huu?.
Nimeambiwa lazima nikapate Kibali Tcra sasa sijajua utaratibu wake vizuri.Anza Tu mkuu
Hivi mkuu hujazoea hayo maneno na ukapata usugu wa jinsi ya kuyavumilia na kuyaepuka? Za kuambiwa changanya na za kwakoNimeambiwa lazima nikapate Kibali Tcra sasa sijajua utaratibu wake vizuri.
Napenda sana na nimeandaa kila kitu lakini ningependa serikali itambue nachofanya kama ulinzi kwangu na wanafunzi watakao toka kwangu wakifanya jambo la kihalifu.Ningependa kwenda Tcra.Hivi mkuu hujazoea hayo maneno na ukapata usugu wa jinsi ya kuyavumilia na kuyaepuka? Za kuambiwa changanya na za kwako
Kama ulinzi wako?Napenda sana na nimeandaa kila kitu lakini ningependa serikali itambue nachofanya kama ulinzi kwangu na wanafunzi watakao toka kwangu wakifanya jambo la kihalifu.Ningependa kwenda Tcra.
Nataka kufungua kakituo hapa Jamii huwa natoa maoni pia naomba unielewe mkuuKama ulinzi wako?
Mbona unatumia fake ID?
Weka nondo hapa acha ngonjera
Watu watajua wenyewe huko mbele juu ya matumizi yao, kwani wewe unataka kutufundisha ufundi simu ktk software au unataka kutufundisha jinsi gani ya kudukua simu ya Anko Magu /au kudroo pesa BOT bila ya kutumia jasho ukiwa nyumbani kwako?
Ukiwa tayari ni tag.
Usitafute wingi wa comments kwa vitu visivyo na maana