Nataka kuanzisha kampuni ya uchapishaji..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuanzisha kampuni ya uchapishaji..!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IHOLOMELA, Aug 20, 2011.

 1. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 80
  Wana wa jamvi naomba ushauri wenu kuhusu hili. Toka nikiwa mdogo ndoto zangu ni kumiliki kampuni ya uchapishaji, hasa katika kuchapa maandishi na picha kwenye fulana. Nilianza zamani sana nikiwa shule ya msingi kuchonga maandishi katika makaratasi ya x-ray na kuweka nembo ktk fulana na mashati yangu. Kutokana na kupenda shughuli hiyo, sasa napamba fulana zangu kwa kutumia Transer papers. Ila nimeona niingie rasmi katika soko hilo kwa aidha kununua fulana na kuziweka picha na maandishi na kuziuza au kuwachapishia watakaoleta fulana zao. Tatizo sijui wapi pa kupata mitambo na gharama zake na kama ntaweza kumudu gharama za uendeshaji. Mtaji nilionao mpaka sasa ni tsh. Milioni tatu. Mwenye idea na fani hii naomba maelekezo.!
   
 2. m

  mbojeinc Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu pia kuwatembelea wanaofanya shughuli hiyo nadhani watakusaidia kwa uzuri zaidi.
   
 3. i

  ibangu Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tuendelee kuwasiliana, nipo sehemu naweza kutafuta muda nikakuchekia hiyo mitambo, Ila kwa sasa niko busy mno!
   
Loading...