Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,487
- 9,025
Unajitafutia umaskini
Lumumba atanunua nani na kwahela gani maana Lumumba wakati si tunasoma aina za namba wao wameshafika K.K.S. na K.D.SUna wazo zuri ila kosa ni aina ya Picha ambayo umeifikiria. Kauzie Lumumba
kweli kakaBiashara yako itafana sana mkuu, hasa ukizingatia maendeleo aliyoyaleta ndani ya mwaka mmoja. Nataja maendeleo machache tu:
1. Nyongeza ya mshahara na kupandisha madaraja watumishi wa umma alifanya kwa wakati.
2.Ajira kwa wahitimu amefanikiwa kuliko awamu zote.
3. Ameruhusu maandamano na mikutano kwa vyama vya siasa hadi watu wamechoka wenyewe, hawataki tena.
4. Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetolewa kwa KILA aliyekuwa anastahili, tena bila matatizo na kwa wakati mwafaka. Wanaolalamikia hili ni vi.laza tu
5. Mafisadi wameshughulikiwa vya kutosha, hasa wale wa ESROW, LUGUMI, RICHMUND, n.k
6. Amefanikiwa kutoa uhuru wa kujieleza kwenye mitandao ya kijamii, hadi Maxce hafuatiliwi tena.
Mafanikio ni mengi.
Kalenda zako zikiwa na picha hiyo, biashara utaifurahia hadi utatoa machozi ya furaha na huzuni.
Weka na ya Jeee chaaaaa
Duhuuu ! Nimecheka mpaka basiBiashara yako itafana sana mkuu, hasa ukizingatia maendeleo aliyoyaleta ndani ya mwaka mmoja. Nataja maendeleo machache tu:
1. Nyongeza ya mshahara na kupandisha madaraja watumishi wa umma alifanya kwa wakati.
2.Ajira kwa wahitimu amefanikiwa kuliko awamu zote.
3. Ameruhusu maandamano na mikutano kwa vyama vya siasa hadi watu wamechoka wenyewe, hawataki tena.
4. Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetolewa kwa KILA aliyekuwa anastahili, tena bila matatizo na kwa wakati mwafaka. Wanaolalamikia hili ni vi.laza tu
5. Mafisadi wameshughulikiwa vya kutosha, hasa wale wa ESROW, LUGUMI, RICHMUND, n.k
6. Amefanikiwa kutoa uhuru wa kujieleza kwenye mitandao ya kijamii, hadi Maxce hafuatiliwi tena.
Mafanikio ni mengi.
Kalenda zako zikiwa na picha hiyo, biashara utaifurahia hadi utatoa machozi ya furaha na huzuni.
Weka na ya Jeee chaaaaa
Is true my friend anzishaaBiashara yako itafana sana mkuu, hasa ukizingatia maendeleo aliyoyaleta ndani ya mwaka mmoja. Nataja maendeleo machache tu:
1. Nyongeza ya mshahara na kupandisha madaraja watumishi wa umma alifanya kwa wakati.
2.Ajira kwa wahitimu amefanikiwa kuliko awamu zote.
3. Ameruhusu maandamano na mikutano kwa vyama vya siasa hadi watu wamechoka wenyewe, hawataki tena.
4. Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetolewa kwa KILA aliyekuwa anastahili, tena bila matatizo na kwa wakati mwafaka. Wanaolalamikia hili ni vi.laza tu
5. Mafisadi wameshughulikiwa vya kutosha, hasa wale wa ESROW, LUGUMI, RICHMUND, n.k
6. Amefanikiwa kutoa uhuru wa kujieleza kwenye mitandao ya kijamii, hadi Maxce hafuatiliwi tena.
Mafanikio ni mengi.
Kalenda zako zikiwa na picha hiyo, biashara utaifurahia hadi utatoa machozi ya furaha na huzuni.
Weka na ya Jeee chaaaaa
Toka uzi umeanza ni wewe pekeako. Hii biashara inaweza ikanidodea maa demand ni kama 0.05%Mimi nitainunua
Duh hakika tuna Raisi Mana kufanya yote haya si mchezo ngoja mi wa Lubumbashi nirudi home sasaBiashara yako itafana sana mkuu, hasa ukizingatia maendeleo aliyoyaleta ndani ya mwaka mmoja. Nataja maendeleo machache tu:
1. Nyongeza ya mshahara na kupandisha madaraja watumishi wa umma alifanya kwa wakati.
2.Ajira kwa wahitimu amefanikiwa kuliko awamu zote.
3. Ameruhusu maandamano na mikutano kwa vyama vya siasa hadi watu wamechoka wenyewe, hawataki tena.
4. Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetolewa kwa KILA aliyekuwa anastahili, tena bila matatizo na kwa wakati mwafaka. Wanaolalamikia hili ni vi.laza tu
5. Mafisadi wameshughulikiwa vya kutosha, hasa wale wa ESROW, LUGUMI, RICHMUND, n.k
6. Amefanikiwa kutoa uhuru wa kujieleza kwenye mitandao ya kijamii, hadi Maxce hafuatiliwi tena.
Mafanikio ni mengi.
Kalenda zako zikiwa na picha hiyo, biashara utaifurahia hadi utatoa machozi ya furaha na huzuni.
Weka na ya Jeee chaaaaa
Watu watachumua pesa tu mazeeLabda uwe unagawa bure na hela juu