tamimy
Member
- Apr 2, 2016
- 26
- 13
Nimefikiria kuanzisha biashara ya kuchomelea (welding) mageti, milango, madirisha na mambo mengine. Naomba kujua baadhi ya mambo.
Kwanza jinsi au wapi kwa kupata mashine na vifaa vingine vya hiyo kazi. Pili sjui kama nafungua tu au kuna protocol natakiwa nipitie. Msishangae mimi ni mgeni kabisa kwenye hii fani na sijui hata kuchomea unaanzaje nataka tu ni invest hasa kwa kuajiri mtu but nitakuwa ninajifunza taratibu na mimi maana naipenda but mimi ni mtu wa fani nyingine.
Tatu na mwisho naomba kujua ugumu na wepesi wake hasa kwenye upatikanaji wa resources na soko. Nadhani nikijua hivyo nitapata picha.
Msaada tafadhali kwa anayefahamu.