Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,599
- 6,742
Sikiliza ndugu maisha hayapo programmed kwamba kipato chako kitakua constant kadri upendavyo, kuna kutetereka na mengine mengi, tunazungumzia uhalisia hapa sio nadharia.Ili uweze kuishi na mwanamke vizuri zingatia haya
1..daima wewe ndo uwe na kipato kikubwa
2..hakikisha linapokuja swala la kudinyana Somalia ukucha mpaka kuhamka asubuhi anakusalimia shikamoo Baba
3..uwe na kauli moja ndani hapana au ndio
4..akikukosea mkalishe chini kama mtoto,na ikiwezekana achezee mbata achana na wazungu eti haki sawa mwanaume daima yupo juu ya mwanamke hakuna cha haki sawa.
5..akitaka kwenda kwa ndugu zake aombe ruhusa sio anajiamuria
Mimi hii mbinu kanipa babu yangu mwenye wake 4 na watoto 27,mpaka sasa hakuna mwanamke aliyeachana naye toka aingie kwenye ndoa nao wote.
Baba ana wanawake 3 na watoto 15
Wote heshima debe kudadekiii
Hiyo 250000 iliendana na maisha ya wakati ule, na hata hiyo 900,000 ya sasa inaendana na Hali ya sasa. Kwa hiyo hakuna utofauti. Aliekupa huo mfano yupo sahihi kabisa.Ni wazo pia ila nadhani hiyo 2500000 ya enzi hizo ya babaako ilikuwa na thamani mara 2 ya 900000 ya sasa, hebu twende pamoja
Sasa wewe sifanye black America kila siku mtakimbiwa na wanawake,Sikiliza ndugu maisha hayapo programmed kwamba kipato chako kitakua constant kadri upendavyo, kuna kutetereka na mengine mengi, tunazungumzia uhalisia hapa sio nadharia.
Jamaa Hana akili....jogoo hafi kwa utitiriSana tu yaani vitu vya nyumbani kama vyakula vinakomba pesa yote.
Anabaki kusubiria mwisho wa mwezi tena,😳 huu si ni utumwa?
Msidhani humu wote ni watoto, kama ni mtu wa starehe hata m5 utasema hazitoshi lakini kwa familia yako ni pesa nyingi sana kama si mutu wa starehe kubwa.Nilimshauri awali hakuamini eti laki tisa ni kubwa aiseee 😅😅😅😅...ngoja ncheke kama mazuri.. hebu mnisaidie nimshauri vipi? 😳😳
Rudia kusoma yote uliyoandika labda hatuelewani mtalaam.Sasa wewe sifanye black America kila siku mtakimbiwa na wanawake,
Sana tu hujui!!!Kumaanisha makabila hayo wanapenda sana fedha
Sawa kipato kinapungua ila kama mke wako ana kazi sio mbaya kumsaidia,ila hata kama yeye anakipato wewe ndo utabaki na kauli juu ya pesa zake atumiajeRudia kusoma yote uliyoandika labda hatuelewani mtalaam.
😀 😀 😀 achana na tamthilia zinakuharibuanakipato wewe ndo utabaki na kauli juu ya pesa zake atumiaje
Duh any wayNi muda mwingine tena.
Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.
"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize.
"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.
Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,
Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.
Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".[emoji15][emoji15]
"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu
msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....[emoji25][emoji25][emoji25]"
Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwalimu.
Karibuni
😂Daah....mkuu nimepata madini zaidi atiiSana tu hujui!!!
🤣🤣🤣 Na ukiachika utakoma shosti na huo mdomo wako!!Ngoja nizidishe adabu, ukute Baba K hivi anavyoniangalia najua ananiangalia Kwa upendo kumbe anawaza ananiacha lini Ili atue mzigo🤣
Sa ntaenda wapi nyiee🤣🤣
Mzee mimi mwanamke wangu unaniletea pesa zake za mshahara kila mwenzi,au mzee usugui mbususa vyema??😀 😀 😀 achana na tamthilia zinakuharibu
yaani kipato cha mke, umpangie wewe mume
aisee, mke wa Neptune huko labda,
wa Bongo chake chake, chako chake
narudia tena, achana na nadharia za tamthilia, zinakuharibuMzee mimi mwanamke wangu unaniletea pesa zake za mshahara kila mwenzi,au mzee usugui mbususa vyema??
Wewe ukipata mshahara nunua mahitaji muhimu mke hawezi kukataa kuyapokea, akisema hapokei eti hakushirikishwa ujue ana mambo yake. Vitu muhimu vikiwepo vinavyofuatia ni leo mboga gani ambazo hazizidi elfu tano, achana na mtindo wa kinunua roborobo mpaka mwenye duka anakuwa kama mjomba wako, kila siku mnaonana mara tatu, asubuhi sukari robo, mchana unga robo na jioni unga tena robo!mke ndiye mpanga bajeti...
Ngoja nizidishe adabu, manake Kama ananiona mzigo plus huu mdomo nitamtibua ubongo apandishe kichaa anifukuze🤣🤣🤣🤣 Na ukiachika utakoma shosti na huo mdomo wako!!
Wewe hutaki kuniamini ila nachokuambia ni kweli,mimi mke wangu kila nikihamka asubuhi ananihamkia shikamoo baba.narudia tena, achana na nadharia za tamthilia, zinakuharibu
Duuuuh, kumbe kuna watu mna bahati hivyo? 😳😳😳Wewe hutaki kuniamini ila nachokuambia ni kweli,mimi mke wangu kila nikihamka asubuhi ananihamkia shikamoo baba.
Akikosea kitu ananiomba msamaha akiwa amepiga magoti.
Nadhani wako anakusimamia kope juju juu na kutaka kupgana nawe au sio