Barmed ndiyo nini Mkuu?Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye tabia Kama yang sasa tuungane kuacha tabia hii.
Source: Baada ya mama watoto kanifuma na barmed pale Landmark hotel