dingi01 Member Joined Oct 5, 2015 Posts 89 Reaction score 21 Oct 17, 2015 #21 Nenda kwenye duka la tecno kwa msaada zaidi
Kun Jr JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 701 Reaction score 363 Oct 17, 2015 #22 MGuccI said: Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q Click to expand... officially E7 haitopata updates kutoka kwa manufacturer so kaa nayo hivyohivyo na kama unayo model E7000 tulia nayo ivyoivyo iko poa sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MGuccI said: Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q Click to expand... officially E7 haitopata updates kutoka kwa manufacturer so kaa nayo hivyohivyo na kama unayo model E7000 tulia nayo ivyoivyo iko poa sana
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,384 Oct 17, 2015 #23 MGuccI said: Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q Click to expand... ilitakiwa ipate around july-september ila naona kimya. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MGuccI said: Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q Click to expand... ilitakiwa ipate around july-september ila naona kimya.
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 17, 2015 Thread starter #24 Public Enemy said: Hiyo hapo kati na nishai update once Click to expand... Mkuu ni simu gan iyoo??
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,064 Reaction score 3,633 Oct 28, 2015 #25 Nafikiri Zaidi said: Mkuu ni simu gan iyoo?? Click to expand... TECNO c8 mkuu