Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Googlekwa mara ya kwanza mediatek imepata official OTA update, rafiki yangu ana sony xperia c5 ultra iliyokuwa na Android 5.1 ametumiwa update ya 6.0 marshmallows leo mchana. ni hatua nzuri
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Google
kwa mara ya kwanza mediatek imepata official OTA update, rafiki yangu ana sony xperia c5 ultra iliyokuwa na Android 5.1 ametumiwa update ya 6.0 marshmallows leo mchana. ni hatua nzuri
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Google
Motorola wapo juu ya Sony, ushaskia xperia E series zikipata updates sana?
Motorola hadi Moto E zinapata
Kwahiyo update mpaka utumiwe? Au inakuwaje chief
yap mtengeneza simu ndio mwenye jukumu la kukupa wewe updates. japo pia unaweza kui update simu mwenyewe kupitia custom rom ila zinakuwa hazipo stable kama official
TECNO c8 nadhani nao Wana system update......
hawana
Hiyo hapo kati na nishai update once
Hiyo hapo kati na nishai update once