Nataka ku-postpone somo nililo-carry

Nataka ku-postpone somo nililo-carry

Joined
Oct 11, 2021
Posts
26
Reaction score
15
Hello naitwa Kelvin kutokea Dodoma, naombeni ushauri nimecarry-over somo moja ambalo limeairisha nafasi yangu ya kugraduate mwaka huu UDSM (education).

Naomben ushauri anayejua jinsi ya kupostpone mwaka ili nitafute kwanza hela ya ada alafu nije nisome next year hiyo course. Nasubiria comments .

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba umesoma miaka yote hadi third year ila kupostpone mwaka ujui utaratibu?
 
Kama wenzio wamekwisha kugraduate,sio lazima ulifanye mwaka huu,hata mwakani utaweza kulifanya na haiitajiki cha barua yoyote coz sio lazima uunge isipokua miaka miwili tu unayo ya kuliclear hilo somo . halafu ada ya nini tena unatafuta wakati kinachotakiwa ni direct cost tu ?
 
Siku hizi wamebadili utaratbu

Unailipia course uliyo carry

Ni tofauti na zamani
 
Yeah mwenyew nliambiwa ivyo.. vipi mkuu kwaio haina haja ya kuandika barua kwajili ya kupostpone sindio

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ila kama n course moja itakua bei chee tu kwanini usiunganishe?

Maana ukikaa mtaan sana vitu vitapotea ukija kuanza utakua kama unaanza upya kabisa

By the way ulikua CONAS nini? Idara gani?? Au mambo ya functional analysis au Abstract algebra ndio imekuzingua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom