Overage watamu bana, ukimpata muelewa najituma mpaka basi tena tehe tehe tehe tehe. Kila la kheri lakini usiwe paka mapepe ukishapata overage unaanza kutafuta dogo dogo![/QUOTE]
Huyu bado kichwa yake inapata moto, wenye umri huo hawawezi kujaribu kwa sababu wewe pia ni msumbufu. nafikiri uendelee na wale wa umri wako ili ukomae zaidi. A mwenzetu unataka urithi?