pole mkuu..Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka kwangu bali mapenzi ya dhati. Asiwe mpenda makuu kama kujirusha kupitiliza, apende kujishughulisha, umri wowote chini ya 35 ni pm tujuane zaidi. Nipo Dsm
Mhh ngoja nichek gemu ntarud!
sasa, changamka basi kabla hajarudi!---
daadek!na mvua imeanza sasa hivi yani tangulia ndani naja shemeji kaka ako hayupo......
sasa, changamka basi kabla hajarudi!---
Ulimpa eeh...? Ngoja nichukue postmotam zitanipa jibu kamili
:rain:
hahaha mzee wa chaboo na mie natega namba 202 ngoma droo:biggrin:gemu? hhmm! nina wasi wasi aisee! ngoja nitege masikio chumba namba 203!! lols!
hahahaaa!! we njoo, nisipotosheka nakuunganisha na wewe kulaleki! ukilia nakuziba mdomo na nanii! hahaaaa!!hahaha mzee wa chaboo na mie natega namba 202 ngoma droo:biggrin:
hahahaaa!! we njoo, nisipotosheka nakuunganisha na wewe kulaleki! ukilia nakuziba mdomo na nanii! hahaaaa!!
bado kweupe bana! ngoja lizame kwanza! ndo najiandaa kwa ajili ya intake ya nne!unaniziba domoo na ninii