Nataka gari Toyota ISt

Nataka gari Toyota ISt

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
998
Wakuu Nataka kuanza miliki gari, nataka Toyota Ist na Toyota wish, ambazo zipo ktk hali nzuri kati ya gari hizo mbili mojawapo nikipata iliyo vizur tutafanya biashara. Pesa yangu ni M 7.

Nb.
Jaman halahala jamaa angu juz kauziwa gari ya wiz sasa HV yy na aliemuuzia wanasumbuana mahakaman, sihitaji matapeli Nataka alieko serious tu, ndo anichek pm
 
0717284678

Back
Top Bottom