Nataka gari mpya budget ni ml.8.5

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wapendwa nawasalimu
Nadhani ujumbe unajitosheleza hapo juu
Naitaji gari yeyote mpya budget ni kama inavyoonekana
Cc 900 hadi 1400
Used toka japan
 
Bongo hakuna gari mpya mkuu..labda useme isiyotumika na mswahil,coz zote zilishatumika huko dubai na japan huko....sema wametumia kistaarabu na barabara nzuri
 
Bongo hakuna gari mpya mkuu..labda useme isiyotumika na msahil,coz zote zilishatumika uko dubai na japan huko....sema wametumia kistaarabu na barabara nzuri
Sawa ahsate kwa marekebisho, inayo hiyo gari?
 
Wapendwa nawasalimu
Nadhani ujumbe unajitosheleza hapo juu
Naitaji gari yeyote mpya budget ni kama inavyoonekana
Cc 900 hadi 1400
Gari mpya kwa maana kwamba 0000km???! Kama ndivyo hiyo pesa ni zaid ya ndogo mkuu
 
Unataka gari jipya kwa 8m? Litakuwa la mbo la kipepe. Used car yes u can.
 
Kwenye kichwa cha habari umesema gari mpya,, kwenye maelezo umesema used.
Ushahuri usiwe na haraka sana kununua gari kama fedha haitoshi,, nakushauli pigana utafute fedha adi angalau ifike 15m utapata gari nzuri sana adi utafurahi mwenyewe.(used from Japan)
 
Naona ume edit maelezo yako ya mwanzo,, naona ndiyo umerahibu kabisa. Maelezo yako ya mwanzo yalikuwa sahihi shida ni iyo heading kwa fedha iyo uliyonayo.
 
Back
Top Bottom