Nataka gari aina ya starlet 5 doorz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka gari aina ya starlet 5 doorz.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Jan 24, 2012.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau, nimebahatika kudunduliza kidogo nilichokua napata na kufikia kias flani, hivyo natafuta gari ya kununua aina ya starlet...iwe katika hali nzuri. Nashukuru.
   
 2. howard

  howard Senior Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nenda kidongo chekundu pale nilipita jana kuna starlet sikuuliza bei ila ni nzuri, LUMUMBA pale na waweza kuwapa madalali kazi hiyo
   
 3. s

  saq JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninayo toyota duet 5 doors, with airbag , automatic gear and automatic windows.
  Needs minor repair works and service.
  i want to sale it off for 6m.

  it was being sold at 8m in town.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kuna mshkaji wangu yupo dar anauza starlet.
  kama upo siriaz pm nikupe contact zake mpatane bei mwana.
   
 5. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kaka nimeku pm, kama umepata nifahamishe tafadhari.
   
Loading...