Nataka demu wa kuinjoy nae wikend hii

Nataka demu wa kuinjoy nae wikend hii

kimbuzi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
153
Reaction score
54
Wadau wa Leo niko bored mbaya afu niko gheto tu Jana tumewekewa mshahara niko vizuri mbaya wallet iko full kama kuna demu yuko available anipm Nile nae bata Leo na kesho nawasilisha
 
hhhaahahah kumbe umeajiria hakiyanani BOSS WAKO NDO ANAMPURA WAJO HAPA MJINI LOOOH
unajigamba kabisa na mshaara ukatese hahhaahahaha

Okey poa twende kwanza mr price alafu kuanzia pale tunapanga ruti
 
Ucjali wewe tu niko vizuri just pm me
 
hauna dada?
Kama vp kampe mamako akaongezee idadi ya madela
 
kaz ipo......pata pesa tuijue tabia yako
 
hhhaahahah kumbe umeajiria hakiyanani BOSS WAKO NDO ANAMPURA WAJO HAPA MJINI LOOOH
unajigamba kabisa na mshaara ukatese hahhaahahaha

Okey poa twende kwanza mr price alafu kuanzia pale tunapanga ruti

kweli anauwezo wa kukugharamia huyu?
Maana mziki huu tunauweza wenyewe
 
hhhaahahah kumbe umeajiria hakiyanani BOSS WAKO NDO ANAMPURA WAJO HAPA MJINI LOOOH
unajigamba kabisa na mshaara ukatese hahhaahahaha

Okey poa twende kwanza mr price alafu kuanzia pale tunapanga ruti

Humu ndani watu mnapiga mawe kah sasa dogi siamekata tamaa kabisa
 
Duh. Jaman. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya nani vile??...
...yan mtu kupata vijisent ndo kuja kujianika huku et natafuta demu wa kujivinjari. Mbona hukuwa na haja ya kuja kujitangaza huku. Insteady ungejiendea kimya kimya kule maeneo ukajiopolee:what:
 
Back
Top Bottom