Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,472
- 5,322
Habari, nimehitimu chuo(Lingusitic teacher) ninawazo lakufungua photo na local video production (Songea)
Nataka ingia bank omba mkopo (3mil.) kwaajili ya printer navifaa vingine.
Camera nacomputer ninavyo tayari.
Mnishauri wakuu, maana dhamana nataka weka hati ya nyumba ya urithi lenye eneo ukubwa unaokaribia nusu hekari,