Nataka chukua mkopo benki

Nataka chukua mkopo benki

mkuu, hivyo nitumie mbinu gani nyingine nifanikishe wazo langu..
Ni labda uanze na ulichonacho mkononi au utafute kwenye vyanzo vingine.

Na usidanganyike ukatafuta mikopo ya uchochoroni utaumia, pamoja na benki kuwa na utaratibu huo lakini ina ukweli....shughuli kabla hujaianza huwezi kujua panda na shuka zake.
 
Back
Top Bottom