Nataka Bunduki, tena machine gun

Nataka AK..ili mnapojifanya mnawahi mabikra 72 ktk ganster paradise na kuanza shook watu hovyo.Basi tumalizane tuu kabla hujaenda nyumba mbili.
hakuna nchi duniani inaruhusu raia kumiliki mashine gun.
 
Labda umiliki gobore, mashine gun bunduki ya kivita Hakuna raia anaeruhusiwa kuimiliki tanzania.

Mbona Marekani hilo ni jambo la kawaida tu; binafsi ninayo MGA MK48 moja, 450 Bushmaster mbili, revolver moja na
Smith-Wesson pistol moja. Tatzio siyo bunduki bali yule aliye na bunduki hiyo; hata kama hana bunduki anaweza kuleta madhara yale yale kwa kutumia kisu, mshale, panga, au mkuki.
 


Kumbuka bunduki hawapewi machizi ndugu
 

Nenda ktk maduka ya Tanganyika Army watakupa utaratibu wa jinsi ya kumiliki...!
 
Kumbuka bunduki hawapewi machizi ndugu
Utashangaa sana ukiamka na kujua tayari tunaongozwa na machizi, tunapewa sheria na machine na na tunakaguliwa na machizi.Ndio maana machizi wamepanda majukwaa ya siasa kwa ulinzi wa chama tawala wakiwa na moto.lengo ni kutishia wapiga kura.Nahitaji machine ili machizi wakipanda kutishia watu ,tuwaambie watu amueni, chizi akiwasha baso tumfute bila shida.
 
Nenda ktk maduka ya Tanganyika Army watakupa utaratibu wa jinsi ya kumiliki...!
Hiyo jinsi najua hawatanipa niliyoomba.Ila majambazi wanatuaadabisha sisi na kuwaadabisha polisi mitaani.Polisi siku hizi ukiwapigia wanakuuliza wana bunduki..anakuambia jificheni yupo pekee kituoni hawezi kuja.
 
Kwanza MTU Kama Nicholas akipewa silaha nzito si atatumaliza wote tusiokuwa kabila lake.. . Dawa ni kuwadhibiti tu.
Chakushanga wewe unayetaka wengine wadhibitiwe ndie unayetaka kuendelea kuwabagua watu,kuwaua wakitaka haki kwa kauli ambazo hazina fikra km zako.
 
Last edited by a moderator:
hakuna nchi duniani inaruhusu raia kumiliki mashine gun.
Pengine umechukulia tafsiri ya raia kibabe kwa fikra za upande mmoja za askari wetu.Kwa taarifa yako wanaoshika km hakuna rushwa ni rai kwa asilimia nyingi.
 

You sound frustrated!
 
You sound frustrated!
You are right..I sound so.What up?Mna akilindogo nyie kima..ila mnapoteza sana muda kujifanya mna personality,mpo happy just because mmechagua kuwa slanderers.
 
Nataka Bunduki ili magaidi wakiingia tuanze nao kabla hawajawahi chagua wasio waislam na kuanza waua km wanata siagi.Nataka Bunduki ili wakiingia watu makanisani km aliyeingia muda huu kuja ua waumini wasio na ulinzi wala silaha kirahisi ..tuweze mmaliza mapema kabisa.nataka bunduki tena mashini gani ili niweze muua gaidi anayeingi na kwa nguvu getini akiwa na bunduki za rasharasha huku akikimbilia ndani akiwa na mabomu akajilipua ndani na kuua watu wengi.Naongea haya ili kufua akili za watawala na askari kuhusu issue ya polisi jamii wenye uwezo.
 
Weka picha yake
Maana.hapa zipo.aina nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…