Nataka Bunduki, tena machine gun

Nataka Bunduki, tena machine gun

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Wanabodi nasikia Bunge na wabunge wa CCM wanalia hovyo kuwa watu wasipewe silaha. Ila Hawajui jinsi gani majambazi wanapita mitaani kuvamia na baada ya matukio ,huwa wanapiga risasi yeyote wanayemkuta njiani hata km anarudi nyumbani. Hawa hawa CCM hawajui kuwa hawana uwezo wa kuzuia watu wabaya kuwa na silaha ,wala kuzua wabaya hao kuua wema wanavyotaka.

CCM wanajifanya hawajui kuwa watu wao, wasomi wao, viongozi wao na watoto wao wamekuwa na matukio ya hovyo ya kutumia silaha na hata kusababisha mauaji. CCM Hawa hawa wanajua pia polisi wao wapo wengi tuu ni vichaa wanaoua raia hovyo, kushirikia katika ujambazi. Na Askari kama hao kuuwawa katika tukio sio dhambi. CCM Wanajua wazi jinsi gani makundi fulani ya wakulima, mengine ya wafugaji wanamiliki silaha ambazo wanatumia kupata nguvu za zaidi dhidi ya wengine.

Nahitaji bunduki ili nami nishiriki kulinda taifa na jamii yetu. CCM wasituambuzie ulimbukeni kwa vile wana hofu ya kisiasa. Jamii zenye kuishi na silaha hazina matukio ya kudhuriana km jamii zetu. Uswisi ni taifa salama sana tangu na kabla ya vita zote za dunia. Hawa jamaa kila nyumba ina bunduki zaidi ya moja, kwao kuwinda ni utamaduni na michezo. Vita ya dunia Hitler hakupenda sana hiyo nchi, kwa vile alijua kila raia anaweza tetea taifa.

Wamasai wanaume wote hutembea na sime na fimbo. Mara zote huwa hawapigani wenyewe ila adui anae waingilia na wakipigana hutumia fimbo.jamii nyingi sana zina silaha za jadi na kisasa.

Zipo jamii ambzo hata nguo hawavai ila hawana ubakaji (unless kuoa kwao kunaendana na nguvu kwanza).TUNAIHITAJI Kuwa na silaha ili jambazi, gaidi akitokea mtaani basi asitoke salama km si kushindwa kabisa kuua raia mwema.

Tunahitaji kuelimishana kuhusu silaha na maadili, tunahitaji kuelimishana kuhusu wajibu unaofuatana na kumiliki au kushika silaha, wajibu wasio nao CCM wote leo.

Kifalsafa tupo pamoja "Nguvu ya uma" ila kwa hili! naomba nipite kwanza.
 
Mkuu unataka machine gun? Unaweza kuwa na machine gun badala ya kuwapiga majambazi ukakimaliza kitongoji chako manake ile inakohoa. Na kama ni ile ya ku mount sijui utai mount chumbani ama uwanjani kwako!
 
Nguvu ya umma bila akili
 
hapo ndipo jambo ya kuwajibika linapokuwa na umakini.Km naweza kuwa makini nisiweke sumu ktk maji,km siwezi kuwa mchawi,km naweza pita sokoni panapouzwa visu kibao na bado watu tunaamini wauza visu wa wachinjaji ktk mabucha hawawezi tudhuri kwanini tudhani kuwa kila mtumia bunduki ataenda ua?kuwa na bunduki kunaweza kusiue watu km mtu anayewpitisha gari kwa kasi kubwa katikati ya msongamano wa watu. Hadi sasa hapa TZ bar salama zaidi ni zile zilizo wazi na wanywaji wao ni matajiri ambao wote wana bastola mifukoni.Hizo huwa wezi hawapaendi kwenda na kuwaambia laleni chini halfu wawapite wote waende counter kuchukua pesa.Ktk dunia hii ya ugaidi.Askari hadi wafike ktk makanisa au misikiti au shule gaidi atakuwa kamaliza watu.Ila km raia wanazo na wakwajibika.gaidi ataishia kuua alioanza nao.Na si rahisi kuteka watu na kutokomea nao km boko haramu kirahisi.
 
Nguvu ya umma bila akili
Nitanunua halali ktk maduka halali ,ile wanayoruhusu.Ila ningependa ya juu zaidi.Otherwise ikibidi si kitu kigumu kutengeneza.Kufanya reverse enginieering si kitu ngumu.
 
Bangi za kuvutia migombani ni tatizo kwa ustawi wa jamii yetu.
 
Nitanunua halali ktk maduka halali ,ile wanayoruhusu.Ila ningependa ya juu zaidi.Otherwise ikibidi si kitu kigumu kutengeneza.Kufanya reverse enginieering si kitu ngumu.
unaposema mashine gun unafanyya uzi uwe wa utani.
 
Hivi mashine gun ipi mnayo izungumzia au mnasikia tu mdomon hya mm huko simo ikiibiwa hiyo moja mnaona watu wanavyoangaika na magwanda kuisaka
 
huku kwetu tunakodisha bunduki ila risasi unajitegemea mwenyewe
 
unaposema mashine gun unafanyya uzi uwe wa utani.
CCM imefanya kila kitu muone utani.Hata michango yenu inahitaji msaada...maarifa yako yote ya UFAHAMU (compehension) uliyosoma shule.Umeona kipande cha heading ndicho kinabeba the bigger picture ya kilichonadikwa.Hii ndio elimu ya CCM..
 
Hivi mashine gun ipi mnayo izungumzia au mnasikia tu mdomon hya mm huko simo ikiibiwa hiyo moja mnaona watu wanavyoangaika na magwanda kuisaka
Ndio unasema nini sasa.Hata panga likibwa linaweza ua watu wengi sana km mtumia ni fundi mzuri na wahanga wake ni wanyonge.
 
Ndio unasema nini sasa.Hata panga likibwa linaweza ua watu wengi sana km mtumia ni fundi mzuri na wahanga wake ni wanyonge.

Sawa haina haja ya kubishana kwa hili panga na mashine gun
 
nataka Bunduki ili wajinga km akina Rage...Kinje.....dito,chenge, na wengine km yule mtoto wa mbunge wa Moro...wajue kwamba si kwenye ngumi tuu.Hata ktk silaha tukiwa level ktk moto tunahitaji kuheshimiana vilevile.Ili wakitoa kubeep au kwa funny kwa kiasi cha kuweza tuua km Dito,wajue tuna haki ya kuwamaliza kabisa au kupasua huo mkono ulioishiikia km si kukata hiyo kiuono kabisa.ili wakatoe ushuhuda si ustaarabu kuelekeza silaha upande aliopo raia mwingine.
 
hapo ndipo jambo ya kuwajibika linapokuwa na umakini.Km naweza kuwa makini nisiweke sumu ktk maji,km siwezi kuwa mchawi,km naweza pita sokoni panapouzwa visu kibao na bado watu tunaamini wauza visu wa wachinjaji ktk mabucha hawawezi tudhuri kwanini tudhani kuwa kila mtumia bunduki ataenda ua?kuwa na bunduki kunaweza kusiue watu km mtu anayewpitisha gari kwa kasi kubwa katikati ya msongamano wa watu. Hadi sasa hapa TZ bar salama zaidi ni zile zilizo wazi na wanywaji wao ni matajiri ambao wote wana bastola mifukoni.Hizo huwa wezi hawapaendi kwenda na kuwaambia laleni chini halfu wawapite wote waende counter kuchukua pesa.Ktk dunia hii ya ugaidi.Askari hadi wafike ktk makanisa au misikiti au shule gaidi atakuwa kamaliza watu.Ila km raia wanazo na wakwajibika.gaidi ataishia kuua alioanza nao.Na si rahisi kuteka watu na kutokomea nao km boko haramu kirahisi.
Tatizo langu ni hiyo Machine gun
 
Tatizo langu ni hiyo Machine gun
Kwanini iwe tatizo kwako na isiwe msaada kwa wamasai walioshikiwa chini na wasomali walioishika Loliondo kipindi kile kwa kuwa na machine gani..huku wakiwa hawaheshimu sheria ya TZ.Kwanini iwe shida kwako na isiwe msaada kwa wakulima wa Kilosa ambao wanatawalwa na wafugaji kwa vile wao wana silaha na kila mmea unaolika na ng`ombe ni halali ya ng`ombe huku polisi wetu wakifanya siasa kwa kuwataarifu wakulima wahamie ktk guest house mjini kabla operation zuga haijapita.Sidhani km wakulima wangekuwa na moto wangeenda iba mifugo na si kuwaadabisha wafugaji ambao wangejifunza kufuga kitaalamu au kuuza mifugo?Kwanini isiwe msaada kwa raia waliouwawa wakirudi nyumbani na kukutana na majambazi walioamua kumua just because kauliza nimesikia risasi huko naweza pita hii njia kurudi nyumbani?Kwanini wananchi tubaki tumefungwa wakati wahamiaji wakiwa wameachiwa huru,na polisi wetu huwa hawataki kabisa kuwahi ktk tukio linalohusu silaha..hawa wageni waka AKs tuu.
 
Labda umiliki gobore, mashine gun bunduki ya kivita Hakuna raia anaeruhusiwa kuimiliki tanzania.
 
Back
Top Bottom