tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Tangu kuanza kwa uchaguz wa 2015 nchi yetu imekua kwenye sintofaham kwa wananchi wake na uhuru wao wa kutoa maoni juu mtangamano wao kama taifa moja . Si bungeni wala mtaani!! Ukigusa tu hali ya kisiasa Zanzibar jua unalo!!
Mawio limefungiwa kutokana na uchaguzi huo huo!! Sasa hivi kijana wa chacha wangwe anakesi kwa kutoa maoni juu ya uchaguzi huo , maneno aliyoyatoa siyo mapya ni kama amenukuu kwa viongoz kadhaa akiwemo Tundu lisu alipowakilisha maoni ya upinzani bungeni. Lisu hajakamatwa sijui kwa vile mwanasheria au coz alikua bungeni .
Sasa mie kuanzia leo nikitaka kuongea kuhusu zanzibar na mabaya yake nitakua sitaji jina , nitakua nasema mambo yanayo endelea pale NG'AMBO yake hivi na hivi na vile. Sijui napo nitaswekwa ndani!!
Sijui wenzangu mtaendelea kukosoa ila sijui mtakosoa kwa njia gani labda nijifunze toka kwenu!!
Maneno ya tundu Lisu
Kwa maoni yetu, Mheshimiwa Spika, katika mazingira haya, tatizo la msingi la Zanzibar sio Jecha Salim Jecha wala ZEC wala Ali Mohamed Shein. Hawa ni vibaraka tu wasiokuwa na nguvu wala uhalali wowote. Bila nguvu ya Tanganyika vibaraka hawa hawawezi kudumu madarakani kwa muda mrefu. Tatizo la msingi ni ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar ambao umevikwa joho la Muungano. Bila kulivua joho hili na kushona lingine badala yake, Zanzibar haitakuwa huru na itaendelea kutawaliwa na Tanganyika kisiasa, kiuchumi na kijeshi.
Bob Chache Wangwe aliandika katika ukurasa wake wa Facebook Machi 15 “
Tanzania ni ambayo inajaza chuki wananchi, matokeo ya kubaka Demokrasia Zanzibar ni hatari zaidi ya Muungano wenyewe. Haiwezekani nchi ya Zanzibar kuwa koloni la Tanzania bara kwa sababu za kijinga.”