Natahitaji laptop kwa budget ya 700k

Jay2525

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
68
Reaction score
121
Wakuu habari zenu. Naomba msaada ili nipate laptop nzuri kwa budgeti hiyo. Lakini ningependa processor yake isiwe chini ya 2.0Ghz
 
Mi ninayo HP Pavilion X2 touch screen ambayo ni detachable. Nimeitumia mwenyewe kwa miezi 6. Imetunzwa vema. Kwa 700k net nakuuzia.
 
Mi ninayo HP Pavilion X2 touch screen ambayo ni detachable. Nimeitumia mwenyewe kwa miezi 6. Imetunzwa vema. Kwa 700k net nakuuzia.
Kapicha mkuu wangu naweza kuwa mteja wako
 
Ipo HP PIA DAR. PROCESSOR 1.6..HDD 320GB
Nakuachia kwa 560,000
Njoo pm tuongee
 
Wakuu habari zenu. Naomba msaada ili nipate laptop nzuri kwa budgeti hiyo. Lakini ningependa processor yake isiwe chini ya 2.0Ghz
Nichek kwa 0654776976 upate machine ya ukweli
 
Wakuu habari zenu. Naomba msaada ili nipate laptop nzuri kwa budgeti hiyo. Lakini ningependa processor yake isiwe chini ya 2.0Ghz
MKUU HIYO PESA NI KUBWA SAANA KWA MACHINE ZA 2GHZ UNAWEZA KUPATA TATU.. HIYO PESA TAFUTA machine yenye processor ya i5 mpya dukani..
 
MKUU HIYO PESA NI KUBWA SAANA KWA MACHINE ZA 2GHZ UNAWEZA KUPATA TATU.. HIYO PESA TAFUTA machine yenye processor ya i5 mpya dukani..

Vitu vingine muwe mnauliza...
 
Ungeenda jukwaa la Tech ungepata msaada wa maana zaidi, though hata hapa upo, nakushauri ujaribu nakule.
 
SONY VAIO Pro 11 Touch Ultrabook
128GB SSD
4GB DDR3L-1600MHz
Internal lithium polymer battery (4125mAh) 6hrs battery life
Intel® HD Graphics 4400
4th gen Intel® Core™ i5-4500U (1.60GHz / 2.3GHz with Turbo Boost)
Touch screen, NFC, Backlit keyboard, USB 3.0x2, Bluetooth, HD webcam, Dual band wifi a/b/ac/n
Windows 10 Pro 64-bit
Carbon Black
11.6" Full HD IPS touchscreen display (1920 x 1080)
Very slim and light
800k (fixed)
Ipo Mbeya.

check zaidi hapa muundo wake
 
Ninayo Hp Elitebook 8460p. RAM 4GB, HDD 320 core i5
Kwa 350,000. Nipo morogoro Mazimbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…