natafuta...

sugar mamy here!!!!!!!!

why cant you go to Buguruni malapa,Vingunguti kiembe mbuzi
kuna mijimama inatafuta vi marioo kama nyie,
 
 
Huna akili wewe. Mambo mengine wala sioni haja ya kuandika humu. Huo ni ushamba na ulimbukeni, pia nina wasiwasi na education level yako.
 
Huna akili wewe. Mambo mengine wala sioni haja ya kuandika humu. Huo ni ushamba na ulimbukeni, pia nina wasiwasi na education level yako.

Kila mtu ana kipimo chake cha utambuzi. Hivyo basi usimkatishe tamaa na process ya kutafuta shuga mammy. Mimi namuombea ampate haraka
 
Heaven on earth ndiyo hatua tuliyofikia sasa! Vijana hawataki kazi kwa ajili ya maendeleo yao binafsi au mali inayopatikana kwa jasho lao wenyewe. Wanawaza kupata sugar mami kupata short cut za maisha. Hawajui utajiri au uwezo wa hao umetoka na hardworking na commitment ya muda mrefu kwenye kazi zao. Wanawaza kuitumia miili yao kuwaburudisha hao wamama kwa kulipwa ujira kidogo. Hii ni biashara ya kikahaba sawa na biashara nyingine zozote zile zinazofanywa na machangudoa.
 
Gimme ya papa's number. Im looking for a boyfriend cum manfriend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…