Madalali utawajua tu, wewe kama mkulima unatakiwa kupanga gharama za mazao yako sababu unajua gharama halisi ulizotumia na sio mnunuzi akupangie gharama.Kweli utafutwe bila kuweka bei???
Weka bei unayonunulia, usiwe kama biashara za mitandaoni huzijui.Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri
0625748072